Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

Kodi za Wananchi
 
As long as unafanya hayo kwa kuua watu, at the cost of people's lives, all done go down the trench!!
 
Unataka kumaanisha Hai au Mbeya mjini. CCM hawako?
 
Hahahahaha sisi tulidhani 4000 kumbe 450, mbona huo ni udhamini wa level ya mbunge tu, poleni hiyo ndiyo SHY TOWN ina wenyewe. Na kama mngeenda vijijini mngeishia wadhamini 40-45 tu
 
Msisahau kutembelea Burigi mkuu, mkaone maajabu ya Simba na Twiga waliosombwa kwa malori. Na ile sanamu ya ajabu ya Mwalimu Nyerere muipige picha.
Ulishafika kwenye haka kapori lakini? Sina uhakika kama kana hadhi ya kuitwa hata "mbuga"
 
Ulishafika kwenye haka kapori lakini? Sina uhakika kama kana hadhi ya kuitwa hata "mbuga"
Unafiki ni mbaya sana ... Burigi national previously burigi game reserve ina square kilometer 2200 mara hata saba ya manyara lake national... Na ilikuwa na wanyama kabla hata ya translocation... Fikiri kidogo tuu hayo simba wanaenda kula majani kama hapakuwa na wild animal before
 
wadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
Na lazima watoke na chochote kitu, lichama linanuka rushwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…