Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Chezea kula bure,kulala bure na posho kwa jina la wakimbizi wa Siasa,watatoa kila visingozio ili tu wabaki huko,wakishachuma vya kutosha watarudi kwa mbwembwe kwa jina la kuikomboa Tanzania.
 
Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .
Watawafunga viongozi tu. Ama wanaua mmoja kwa risasi mbele ya wengine halafu inakuwa somo kwa wengine
 
Kwa huu uzi wenu mnathibitisha Chadema ni Lissu, Mbowe, na Lema, hao wengine waliopo nchini kazi yao ni ipi?

Hizi hoja zenu hata sizielewi.
Kweli mkuu, hoja kama hizi zinapqndikiza fikra mgando ya kuaminj kuwa chama ni nguvu ya watu fulani tu na siyo wenye nguvu ya itikadi
 
Inawezekana unapoint.....ila hiyo "hata wakimuuua hana cha kupoteza" vaa viatu ungekuwa mtoto wa Lissu ndiyo unasoma huu Uzi
 

Mnyika akae pembeni. Japo Heche wakamate mikoba sasa. Wazee wa nyembe za kunyolea muda wetu ndiyo huu wa kujimwaya mwaya:

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
 
Marehemu hawezi kuwa na wafuasi, kilichopo ni watu wanapigania matumbo yao ili tonge lisiwaponyoke. Kwenye politics za nchi hii mzee wa msoga ni nomaa!! Jiulize nini nimempata Bashiru na sasa Polepole?
 
Watawafunga viongozi tu. Ama wanaua mmoja kwa risasi mbele ya wengine halafu inakuwa somo kwa wengine
Hakuna Cha kufuna viongozi wakikamatwa Ni kuandamana na kukaa kituoni mpaka waachiwe bila mashariti.

Wakigoma kituo kinapigwa Moto Kama ishara ya kuchoka uonevu.
 
Nakubaliana na hoja zako kwa 100% japo swala la kurudi linabaki katika maamuzi yake Binafsi.
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.
Unazungumzia Dr Mihogo huyu huyu aliyehongwa ubalozi?
 
Ww unaweza kuyafanya hayo?
Hapo unaongea uko home umetulia na wife anapika nyama
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kuna watu wanafurahisha sanaa. Hili swali ameshaulizwa kule Maria Space na akawajibu vizuri tuu madhila aliyopitia kwenye maisha yake kuna watu hata theluthi yake tuu hawayawezi ila wanajifanya ni washauri wake. Mpaka aliwapa mifano ya jinsi walivyogoma kumuunga mkono wakati matokeo ya uchaguzi yalipotoka...
 
Tutahakikisha kila biashara inayomilikiwa na mwana ccm inapigwa Moto na tunapoteza wote.
Mmeshindwa kumwondoa Mlevi wa Konyagi mtaweza ya Watanzania? Nyie bakini kulialia tu humu JF. Tanzania ina wenyewe, na wenyewe ni Watanzania, sio Chaga gangsters!
 
Kuna kundi kubwa sana la marehemu halijui hatma yao,Sasa Chadema badala ya kujizolea hili kundi wao wako busy kumtukana marefu. Hawa jamaa wana mattz sana.
 
Ndio hivyo huwezi kutukana mtu ambaye hayupo

Hawezi kujitetea Tena

Ambaye ameshafuga kitabu chake hapa duniani

Ni kujitafutia laana tu katika siasa tunapambana na waliopo madarakani sio waliotoka au kufa.

..Lissu au Lema wakirudi watakamatiwa uwanja wa ndege.
 
kwani dr slaa yuko wapi huoni kama angetuuza kwa bei chee
Mtu anayemzungumza Dr. Slaa kama hero kwenye siasa za upinzani wa Tanzania huwa simuelewi kabisa mantiki yake. Huo ushupavu wake ni upi? Hana hicho ambacho wanaccm wachache waliokuwa wamejificha ndani ya upinzani hasa Chadema wanachokuwa wanamsifia. Alipokubali tu kushiriki na CCM ya Magufuli na kukubali kazi aliyopewa ilitosha kabisa kumuondoa kwenye sifa hizo. Maana tayari ni msaliti na hilo alilithibitisha. Siasa za upinzani Tanzania sio lelemama hata kidogo zinahitaji kujipambanua na kujisimamia misimamo yako. Mpaka sasa wanasiasa wa upinzani wanaoshikilia misimamo yao ni wachache sana wengi wameshaonesha madhaifu yao hadharani na wengine wamesaliti kabisa harakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…