Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Wewe uko wapi huko usipoweza kuyaelewa haya unayouliza? Mbona yote hayayamekwisha kufanyika. Utamshtaki asiyeshtakiwa kisheria tena kwa wateule wake ndio waiamue kesi yake, are you serious? Sidhani kama mna nia njema dhidi ya hawa watu au labda hamuelewi nini kinaendelea. Mmeshindwa kujifunza kwenye hii kesi ya Mbowe.

Nashauri CDM si wakati sahihi wa kuwaita Lisu na Lema nchini WATAISHA. Chama kitapoteza pakubwa sana na hata kuingia mikononi mwa madhalimu. Tupambane tumalize kesi ya mwamba kwanza.
 
Omba uenyekiti wewe utekeleze hayo na sio kuchongea wenzako kisha uanze kuwaona kwenye TV au social media wakiteseka wakati wewe unakunywa supu kwako umekunja nne kisha una waandikia komaeni uhuru upatikane 😁😁😁
 
CHADEMA ina viongozi kuanzia wilayani, mikoani hadi Taifa. Kila mmoja awajibike. Waige mfano wa CHADEMA Mbeya haimtegemei Lisu wala Lema.

Mikoa mingine mjifunze kutoka Mbeya.
 
I don't see this hapenning..!!!

I really Don't.
 
Hivi vyama vingine vya siasa vina kazi gani yaan hata kukemea kuongea wameshindwa
 
Hayupo wa kumuua ,yeye,Lema na Mbowe alieko gerezani wanajua kinachowakalisha huko ughaibuni,
Rejea, mmoja alitolekea Kenya kisha kuomba uraia kanada ,mwingine akaokolewa na mabalozi,kama hujui kinachowakalisha huko pamoja na kujifanya wanamuogopa Magufuli na hayupo,lakini wanajua uhuni walotaka kulifanyia taifa hauvumiliki hata kidogo
 
Ndio hivyo huwezi kutukana mtu ambaye hayupo

Hawezi kujitetea Tena

Ambaye ameshafuga kitabu chake hapa duniani

Ni kujitafutia laana tu katika siasa tunapambana na waliopo madarakani sio waliotoka au kufa.
Makini sana
 
Acheni siasq za kiharakati kuwe i na mikakati wakuu... kila siku mnaambiwa hamsikii.
CCM itaendelea kudunda kwasababu hampo serious
 
kwa kuanza weka namba zako jina lako kamili achana na ma keyboard haya na bunge lenu la space
 
Mashetani wapo kifungoni lazima watarudi tu
 
Wanaokamatwa ni viongozi na wahudhuriaji wachache, swali nani awe mbuzi wa kafara?.
 
Lissu angetaka hela ya bure, angetangaza mpango wa kurejea nchini mwaka huu. Kwa jinsi wanavyomfahamu naamini watakuwa tayari “kumvika” kiasi kisichopungua US$ 2.0 million akiwapa guarantee kwamba hatarudi wala kujihusisha na harakati za CHADEMA tena.

Bahati mbaya yule mtu ana allergy kubwa na pesa za rushwa/hongo. Halafu kama vile kuigonga nyundo serikali ndio hobby yake kubwa.
 
UKWELI NI HUU ....WATOZONIA WENGI NI WAOGA , WAFIKI , WASALITI NA WAONGO SANA .....

unaweza ukaanzisha harakati Leo ,, wakakubaliana na wewe kwa maneno tu , Ila physically they are not ready ......

UOGA
UNAFIKI
USALITI
NK.....ni kikwazo kikubwa kwa nchi kama Tozonia kupiga hatua mbele......

Homework[emoji654] kivipi tunaweza kuondoa uoga na unafiki ndani ya mioyo na mabichwa ya watz ???
(Jadili hoja hii kwa mifano kuntu ).
 
mh!! Lissu akirudi basi mama atakuwa ameruka mkojo, na kukanyaga mavi. Heri angebakia na mbowe waendeshane taratibu kuliko mwamba TUNDU ANTIPHAS LISSU, aliyeshindikana. Mwamba wa upinzani Africa.
Lissu ana umwamba gani zaidi ya ule wa matusi ya nguoni.
 
Tatizo kubwa ni kwa watu kama wewe. Unahamasisha na siku inapofika unajificha ndani kuacha wengine wafanye kazi chafu. Watanzania wajanja kweli. Wanapoona kuna mtu au watu wanataka kuwaingiza choo cha kike, wanashtuka.
 
Tatizo kubwa ni kwa watu kama wewe. Unahamasisha na siku inapofika unajificha ndani kuacha wengine wafanye kazi chafu. Watanzania wajanja kweli. Wanapoona kuna mtu au watu wanataka kuwaingiza choo cha kike, wanashtuka.
[emoji3578] SASA NI SAA NNE KAMILI.
 
kwani dr slaa yuko wapi huoni kama angetuuza kwa bei chee
Kama walivyowauza wale wote waliyotofautiana na Mbowe. Kwa mfano Makurya (Wakurya) wachache walijipendekeza kwa Mbowe, hata baada ya Mbowe kumuua Chacha Wangwe.
 
Lisu arejee kingine mbowe waachane nae serikali ijiamulie yenyewe mawakili wote wajitoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…