Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?

Mbona tayari Lissu keshasema wazi kuwa kuna watu wanataka kumdhuru ......!!
 
Ndio inavyotakiwa hii nchi wanafiki wengi Sana hawachelewi kukuuza


Shida watu wanadhani Lissu yupo peke yake ndio ujinga wa wapambe

Tuishi kwa akili mabosi nao ufa au kufilisika!!.
Vp kichwa, kina bullet proof?!!!
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Unauliza swali ambalo majibu yake tangu jana aliyatoa mwenyewe Tundu Lussu..?

Unasema makao makuu ya CHADEMA yana usalama, je una maana hiyo "bullet proof" kaivalia hapo makao makuu...?

Haina shaka kuwa hiyo bullet proof kaivaa tangu anatoka huko alikotoka, akatembea nayo njiani hata anafika hapo makao makuu ya chama...

Ni ishu ya tahadhari ya ki - usalama na kujilinda tu...

Kumbuka alishalambwa shaba nyingi. Kwa hiyo, kama ameshapokea matishio mengine ya kumtoa uhai, kuchukua tahadhari ni hekima na busara sana...
 
Uchaguzi huu unaweza kukitikisa kidogo CHADEMA ila ni hatua muhimu sana katika kuthibitisha kwa vitendo demokrasia wanayoihubiri kila siku huku wakiwataka CCM waifanye kwa vitendo

Cha kusikitisha ni ile hali ya kujitokeza hadharani kwa baadhi ya "machawa" ambao wanaona kitendo cha Lissu kuchukua form ya Uenyekiti ni sawa na uhaini. Huu ni utoto
 
Kama ilivyo ada, Ukishachukua fomu ya kugombea , na baada ya kuijaza maeneo yanayotakiwa kama ilivyoelekezwa basi unapaswa kuirejesha kabla ya muda kupita ili Uhalali wa fomu yako usitiliwe mashaka.

Hivi ndivyo Tundu Lussu alivyofanya na kupokelewa na Maofisa wa Chama akiwemo Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila.
Je, hiyo fomu iliyo jazwa, haiwezi kuwasilishwa kwa njia nyingine kama posta, au kuwasilishwa na mjumbe maalum; ni lazima muhusika mwenyewe aiwasilishe kwa mikono yake?
 
Amekua 50 cent sasa. Sema huyu mwamba ni mtu na nusu. Watanzania wakesho wana muhitaji sana lissu kuliko yeye anavyo wahitaji.
Genge la raia feki aliwataki watu kama lissu au mtikila ...kumbuka rostam alifanyanini kwa mtikila. Serikali ya tanzania ipo nikononi mwa raia feki kutokana na nchi kukosa sera za kizalendo ...unampaje mtu uraia kisha anakuwa raia kwa asilimia 100% mfano wakimbizi wa somalia walipewa uraia tayari wanaweza kuingia kwenye siasa na systems za taifa ....nilisha sema sana Tanzania tunatakiwa kuwa na AINA ZISIZO PUNGUA 3 ZA URAIA LA SIVYO TAIFA LITAZIDI KUINGIA MIKONONI MWA WAHALIFU WAKUBWA DUNIANI..MTANZANIA MWENYE URAIA DARAJA LA KWANZA NDIYO ARUHUSIWE KUWA MWANASIASA NA KUWA KIONGOZI WA KISERIKALI KATIKA NGAZI ZA JUU..watanzania wa daraja ya chini wasiruhusiwe hata kupiga kura wala kuwa viongozi wala wanasiasa nk
 
Back
Top Bottom