Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

Kwani hata ulinzi alonao siku zote ni kwasababu ya huu uchaguzi?,,kuvaa ivyo ni mda wote na popote maana anamaadui uko kote.
 
Anamaanisha nchi Haina uwezo wa kumpa ulinzi, kisiasa Ina maana kubwa sana
 
Za chini chini ndani ndani ni kuwa anataka kuziba mfereji wa MLO wa mwamba mwenyewe ! Yaani Hilo ni jambo Tete mno !
Duh. Ndiyo maana timu mwenye nyumba wako tayari kugawana fito badala ya kujenga nyumba moja.
 
Kila laheri Lissu
 
Lolote likitokea yuko tayari.
 
Bullet proof au Kizibao tu ??!
 
Msishangae maajabu yakaja kwenye kuenguliwa kwa kukosea kujaza fomu kwa usahihi.
 
N
NAmkubali sana huyu mwamba the real product of ILBORu Sec
 
Drama +Kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…