implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Kwani hata ulinzi alonao siku zote ni kwasababu ya huu uchaguzi?,,kuvaa ivyo ni mda wote na popote maana anamaadui uko kote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh. Ndiyo maana timu mwenye nyumba wako tayari kugawana fito badala ya kujenga nyumba moja.Za chini chini ndani ndani ni kuwa anataka kuziba mfereji wa MLO wa mwamba mwenyewe ! Yaani Hilo ni jambo Tete mno !
Una evidence mimi ni mwanasiasa?Nyie wanasiasa janjajanja sana.
Evidence.....!! kwani tupo mahakamani hapa?Una evidence mimi ni mwanasiasa?
Kila laheri LissuView attachment 3180077
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
----
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema ameanza kuvaa mavazi ya kujikinga na risasi (bulletproof) ili kulinda usalama wake kutokana na tishio la usalama wake, akidai polisi hawajaonyesha nia ya kumlinda.
Kauli hiyo ya Lissu imekuja siku moja baada ya Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kuyafananisha madai ya Lissu na uhuru wake wa maoni, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza wajibu wake wa kikatiba wa kuhakikisha raia wote wanakuwa salama pamoja na mali zao.
Desemba 16, 2024, kupitia ukurasa wake wa X, Lissu alidai kuwa kuna njama za kumdhuru na kutoa onyo kwa wanaolenga kutekeleza tukio hilo na baadaye kufafanua suala hilo kwenye vyombo vya habari.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 18, wakati akirejesha fomu ya kuwania uenyekiti wa chama hicho, Lissu alisema hajafurahishwa na kauli ya Jeshi la Polisi, na ndio maana ameanza kujilinda mwenyewe.
"Jana nilizungumzia vitisho vilivyotolewa dhidi yangu, na nimeona Jeshi la Polisi wakisema kwamba hawawezi kumlinda mtu binafsi, hata kama mtu huyo aliponea chupuchupu kuuawa kwa kupigwa risasi 16, kwenye majengo ya Serikali, na waliohusika hawajawahi kutafutwa wala kuchukuliwa hatua zozote," amesema.
Lissu ameongeza kuwa, kwa kuwa Jeshi la Polisi limekataa kumlinda au kuchukua hatua kuhusu taarifa anazotoa za tishio la usalama wake, ameamua kuchukua hatua za kujilinda mwenyewe.
"Nimeamua kujilinda mwenyewe, ndio maana nimeamua kuvalia mavazi ya namna hii, bulletproof, kwa kuwa jeshi halitaki kunilinda," alisema.
"Wamesema hadharani kwamba hawatanipa ulinzi kwa sababu jukumu lao ni kulinda raia wote kwa usawa. Lakini, raia wote hawakabiliwi na tishio la maisha yao kwa usawa. Mimi nimeshakaribia kuuawa mara moja kwa kupigwa risasi 16, tishio dhidi yangu haliwezi kuwa sawa na mtu mwingine ambaye hajawahi kushambuliwa," amesema.
Lissu alieleza kuwa kauli ya Kamanda Muliro, kwamba hawezi kutoa ulinzi kwa mtu aliyewahi kushambuliwa, ni ishara kwamba anatakiwa kujitegemea katika kujilinda.
"Uhai ni wa kwangu, ni lazima nijilinde mwenyewe baada ya Jeshi la Polisi, lenye jukumu la kufanya hivyo, kukataa," aliongeza.
Katika hatua nyingine, amezungumzia kuhusu wafuasi waliojitokeza nyumbani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni Dar es Salaam kumtaka agombee uenyekiti, kuwa hali hiyo haimpi hofu.
"Hainipi hofu hata kidogo. Haya makundi yanayoitwa wanachama, wafuasi na wapenzi, hii si mara ya kwanza. Mwaka 2019 ilikuwa hivyo, 2014 ilikuwa hivi hivi. Mwenyekiti huwa analazimishwa kugombea na kushinikizwa na wanachama; kama hiyo ni stahili yake, siwezi kuwa na shida nayo," alisema.
Lissu alirejesha fomu yake leo katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni, Dar es Salaam na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Tanzania Bara, Benson Kigaila.
"Nimeshakabidhi fomu zangu za kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama Taifa kwa Naibu Katibu Mkuu wa Tanzania Bara, Benson Kigaila na zimeshapokelewa. Kinachofuata ni kusubiri hatua za mbele," amesema Lissu.
heri nzo: Mwananchi
Lolote likitokea yuko tayari.View attachment 3180077

Chanzo: Mwananchi
Kwhy unaongea ili kufuraisha watu sio? BichwaEvidence.....!! kwani tupo mahakamani hapa?
Bullet proof au Kizibao tu ??!View attachment 3180077

NAmkubali sana huyu mwamba the real product of ILBORu SecView attachment 3180077

Tayari wakati kaachia Buchwa lote waziSafi sana yuko tsyali kwa lolote...
Anamaanisha hiyo nafasi anayowania ni ya "kivita"
na inahitaji kujitoa haswaa
Go TL
Drama +KickView attachment 3180077