Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

Kweli Lissu ni jabali la maono,ameshaona hatuna rais bali tuna kivuli cha dikteta magufuli
 
Lisu tulia ule hela za mwanaume mwenzio Amstadam kwa gharama ya kwa mparange yako .

Ya Tanzania mwachie Samia
 
Mtu kutoka chama kile kile zao la mfumo ule ule unategemeaje jambo jipya toka kwake? zaidi ya hotuba za maneno matamu hakuna kingine cha maana waimba mapambio watakachofurahia, baada ya siku kadhaa akili zitawarudia.
🤣🤣
 
Wakati akihojiwa na DW!

Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
Ni kweli, ishara ya kwanza ni UTEKAJI... nchi ya hovyo kabisa ni ile inazuia watu kuongea yaani tukae kama ndani ya box la mabata. UJINGA.
 
Ni kweli, ishara ya kwanza ni UTEKAJI... nchi ya hovyo kabisa ni ile inazuia watu kuongea yaani tukae kama ndani ya box la mabata. UJINGA.
Hahaah
 
Back
Top Bottom