Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tcra wako wapi
tusubiri figisufigisu zao
Muda mfupi ujao watapokea open letter kutoka Robert Amsterdam LLP.TCRA wamekata matangazo
Ukipigwa risasi 30 unaweza pona kweli wewe?
Sasa ndio ujiulize imekuaje na kwanini Lissu kapona.
Yesu hakufufuka ili atubu, Bali ili wasioamini kama wewe wapate kutubu waokoke!Kapona ili atubu ushetani labda, who knows?
TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote lakini cha ajabu TBC imekuwa TV binafsi ya CCMWenzake hurushwa live na mainstream media za Muzungu yeye eti Dar mpya halafu tunatishana eti Muzungu ana msapoti, mawe, ...
Hahaha! Robert Amsterdam ana-deal na John na watu wake tu.Muda mfupi ujao watapokea open letter kutoka Robert Amsterdam LLP.
Ushetani ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniKapona ili atubu ushetani labda, who knows?
The Hague,ninasikia harufu yakeHahaha! Robert Amsterdam ana-deal na John na watu wake tu.
Lipumba na shibuda wamechukua pesa toka CCM juzi kwa ajili ya kwenda kumwekea pingamizi Tundu lisu ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiVigezo na masharti kuzingatiwa, kama hatimizi atakatwa, wote tunapitia hayo kwenye maisha yetu, tusipotimiza vigezo vilivyowekwa aidha kwa kujua au kutokujua tunakatwa, ...
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Ongeza sauti kidogoCcm bila polisi ni tlp
Ataozea jela huyu ngosha asipoangaliaThe Hague,ninasikia harufu yake