Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

umeamua kuwa upande Wa madikteta? Yaani MTU atoe hotuba halafu usiirushe live mpaka ukamuulize upande Wa pili? You must be joking! Kama stori haiko sawa jibu, kama unaona umeonewa nenda mahakamani! Hii sheria ya hovyo kabisa, TCRA na Waziri Wa habari wamepewa rungu na sheria kuua Uhuru Wa habari, Jiwe anapita na kuropoka hovyo hatujasikia hatua zozote toka kwa wanafiki wakubwa hawa!
It doesn’t work that uwezi kujua mtu anazungumza nini hasa kama tukio lenyewe ni mubashara. Ila una nafasi baadae ya kutafuta upande wa pili kama wanataka kutoa ufanunuzi wasipotaka sawa.
 
Mathayo : Mlango 11
12 Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
 
Mathayo : Mlango 12
29 Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? Ndipo atakapoiteka nyumba yake.
 
Luka : Mlango 11
22 lakini mtu mwenye nguvu kuliko yeye atakapomwendea na kumshinda, amnyang'anya silaha zake zote alizokuwa akizitegemea, na kuyagawanya mateka yake.
 
Back
Top Bottom