Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa watu wanasali unataka wafanyaje?Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Hapana kaenda kanisani kushiriki adhimisho la misa takatifu yeye kama mkatolikiAlidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
AhahahahAlidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
Alidhani akienda kanisani watu watahangaika naye
HakikaKanisani watu wanahangaika na Mungu wa mbingu, siyo mungu-mtu.
Malipo ni hapa hapaNikiangalia huo mguu wa Lissu na jinsi anavyotembea na kusimama huwa naumia sana!! Aliyefanya hivi kwa Lissu apate pigo kuu mwaka huu kwa Jina la Yesu!
Ikiangalia walkability yake jamaa anaongeza madoido ili apate huruma hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa Rais!Nikiangalia huo mguu wa Lissu na jinsi anavyotembea na kusimama huwa naumia sana!! Aliyefanya hivi kwa Lissu apate pigo kuu mwaka huu kwa Jina la Yesu!
amen na itatokeaNikiangalia huo mguu wa Lissu na jinsi anavyotembea na kusimama huwa naumia sana!! Aliyefanya hivi kwa Lissu apate pigo kuu mwaka huu kwa Jina la Yesu!
sawaIkiangalia walkability yake jamaa anaongeza madoido ili apate huruma hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa Rais!
Shukuru Mungu hujapitia aliyopitia Lissu we kilaza wa lumumbaIkiangalia walkability yake jamaa anaongeza madoido ili apate huruma hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa Rais!
Sijawahi kuwa msaliti wa nchi yangu!Shukuru Mungu hujapitia aliyopitia Lissu we kilaza wa lumumba
Kwani nani msaliti wa nchi yake???Sijawahi kuwa msaliti wa nchi yangu!
"NI YEYE"Kwani nani msaliti wa nchi yake???
Hivi nyie hamjajua huyu jamaa yupo kazini hapa jf ili baadae akalipwe? Mkitaka kujua fuatilieni anajibu kila uzi unaongelea Chadema! Kwa hiyo msilalamike jamaa yupo kaziniKanisani watu wanahangaika na Mungu wa mbingu, siyo mungu-mtu.
Seriously?Ikiangalia walkability yake jamaa anaongeza madoido ili apate huruma hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa Rais!
Ulikuwepo we fala?Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui
Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye