Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
Fuatilia Mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia Mkuu!
Hata usipopigwa risasi unaweza kupata ajali mbaya sana ukatembea kwa madoido zaidi ya Lissu. Mungu hadhiakiwiFuatilia Mkuu!
Duuuh wewe jamaa kila uzi upo na chuki zako za kinafiki dhidi ya lissu. Iko siku utaona thamani ya haya magezi yanayopiganiwaNdio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui
Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Mungu sio Mbelgiji!Hata usipopigwa risasi unaweza kupata ajali mbaya sana ukatembea kwa madoido zaidi ya Lissu. Mungu hadhiakiwi
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Sio mageuzi ila mnataka kuhalalisha USHOGA!Duuuh wewe jamaa kila uzi upo na chuki zako za kinafiki dhidi ya lissu. Iko siku utaona thamani ya haya magezi yanayopiganiwa
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Kanisani siyo sehemu ya kutafuta publicity na attention ya watu. Kanisani ni sehemu ya kila mmoja kujinyenyekeza. Yule hawara wa Kebby hana aibu hata Ekaristi anapokea. Atakuwa kuni siku ya kiama na atapewa uongozi wa malaika wabaya (mashetani) ili apewe adhabu kubwa zaidi. Shame on himWaumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
HelloowTumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
View attachment 1568561
Na wewe inaonesha umetekwa na propaganda za hivyo...ilianza mnataka kuleta vita sasA haionogi mmekuja na ushoga huku maisha yakiendelea kuwatandika watu wa kwenu. Hata kama upinzani hautashinda angalau kwa ajili ya dhamira yako fanya kweliSio mageuzi ila mnataka kuhalalisha USHOGA!
Waumini wamekataa Kumpa hata mkono baada ya ibada
🖐Mageuzi alituletelea Baba wa Taifa mwalimu Nyerere, huyu mtu wa ubeligiji anawapigania Wazungu kuja kuiuza Nchi yetu
Duh hatari sana..mi ningegeuzia hapo hapo mikumi kurudi dar nikalale tu.Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui
Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Sikuwahi kufikiria kama Lissu ni Mkristo Mkatoliki, nimemuona akianza kwenda Kanisani kipindi hiki cha Kampenj za UchaguziTumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
View attachment 1568561
Kumbe magu akienda kanisani waumini wanakuwa wanamwabudu yeyeWaumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Wewe ndie uliempiga picha? Kula sakrament inatuhusu nini sisi, au umesikia oktoba tunachagua askofu au paroko?Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
View attachment 1568561
Kwani ndugu yenu huwa anaenda kanisani kuongeza madoido kumbe.mna hasara sanaIkiangalia walkability yake jamaa anaongeza madoido ili apate huruma hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa Rais!