Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui

Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Duuuh wewe jamaa kila uzi upo na chuki zako za kinafiki dhidi ya lissu. Iko siku utaona thamani ya haya magezi yanayopiganiwa
 
Waumini hata hawana habari naye, anatia huruma huyu mtu wa ubeligiji
Kanisani siyo sehemu ya kutafuta publicity na attention ya watu. Kanisani ni sehemu ya kila mmoja kujinyenyekeza. Yule hawara wa Kebby hana aibu hata Ekaristi anapokea. Atakuwa kuni siku ya kiama na atapewa uongozi wa malaika wabaya (mashetani) ili apewe adhabu kubwa zaidi. Shame on him
 
Sio mageuzi ila mnataka kuhalalisha USHOGA!
Na wewe inaonesha umetekwa na propaganda za hivyo...ilianza mnataka kuleta vita sasA haionogi mmekuja na ushoga huku maisha yakiendelea kuwatandika watu wa kwenu. Hata kama upinzani hautashinda angalau kwa ajili ya dhamira yako fanya kweli
 
Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui

Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Duh hatari sana..mi ningegeuzia hapo hapo mikumi kurudi dar nikalale tu.
 
Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa

View attachment 1568561
Wewe ndie uliempiga picha? Kula sakrament inatuhusu nini sisi, au umesikia oktoba tunachagua askofu au paroko?
 
Back
Top Bottom