Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.
Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Kuna watu wanashangaza sana wanatetea kitendo hiki kwa coverup ya haki sawa, lakini ndiyo hulka zetu zilivyo tunatambuana kwa kauli zetu mtu akimyamaza huwezi jua tabia yake.
![]()
Kazi ipo na makamba anajidanganya kwamba anaweza kupambana na chadema kamuagiza mwenyekiti wa uvccm kuandaa mpango wa kupambana na chadema kila kona na eti wameomba usalama wa taifa kuhakikisha wanawajulisha mbinu zote za chadema kabla hazijatekelezwa. Jamani tuwe tayari kwa mapambano wabunge wetu tuko tayari tunawasubiri.
Majimshindo wewe ni mpumbavu wa mwisho hivi unaweza kutetea upuuzi huu,hawa wahuni(watoto) unaweza kweli kusema kwamba ni wanafunzi ambao wapo kwenye masomo ya vitendo? Wachafu,wamevaa shabeshabe halafu unataka kusema nini?!!
Jaribuni(CCM) kutumumia ubongo kufikiri badala ya unyayo
Wewe kama huna la kuongea ni vizuri ukanyamaza usituchafulie hali ya hewa, mtu mwenyewe umejiunga juzi juzi tu, tulia great thinkers wakuonyeshe jinsi ya kuandika
hapa ni ujanja ujanja tu umetumika, hili si rika la kuchambua na kukosoa mambo muhimu ya mustakabali wa taifa na maisha ya mtu, wamewakusanya ili waongeze idadi ya watu na baadae waje watuambie wananchi walioshiriki ni 98%... maoni yanakusanywa dar na dom tu, cc wa mikoani mbona hatushirikishwi? kwanini? eti kukusanya maoni siku 3 kweli jamani? kweli hapa kuna kamchezo kanachezwa!
Haa haaaaa! Uliwauliza juu ya umri wao ndugu? Ukitaka kujua kama Serikali iko serious na utoaji maoni ulio huru katika Muswada huu soma kifungu cha 28 (2) na (3) cha Muswada: "28 (2) For the purposes of subsection (c) paragraph (1) the referendum campaign shall be conducted by the Commission and no political party or affiliate organization to a political party shall participate in a referendum campaign.
(3) A person who contravenes the provisions of subsection (2) commits an offence and on conviction be liable to imprisonment, without fine, to a term not exceeding two years."
Kifungu hiki kina jambo la ajabu sana: Kwamba eti Tume iliyokusanya maoni ndio ifanye Kampeni yenyewe, sasa hapo unategemea nini? Si watafanya kampeni kuvutia kile wanachoamini? Na endapo mtu mwingine anafanya kampeni eti linakuwa kosa la jinai! Sasa hapa ukiambiwa kuwa CCM/Serikali imepeleka watoto ili kukaba nafasi za watu wenye uchungu na uelewa wa mambo ya nchi yao utashangaa?
Endelea kujifanya ujui....lakini iko siku utajuwa. Huwa nafatilia sana hoja zako hapa jamvini....wewe huna tafauti na ccm'kubishana na wakatinapenda zomea zomea iendelee kwa wote maana inaonesha ni namna gani watanzania tunaweza kujadili!!! Inaonesha namna gani tunaweza na kumudu majadiliano!!! Inaonesha ni upeo kiasi gani tulio nao, hakuna haja ya kukemea zomeazomea!! Nadhani ni aina ya watanzania kujadili mambo!!! Zomeazomea ni burudani tosha na ni funzo pia kwa wanaopenda zomeazomea!!
Zomeaneni siku zipite tupate katiba mpya itakayokuwa 'nzuri' kwa sababu zomeazomea itakuwemo!
Wanasiasa wa nchi hii si makini, na ndilo linapelekea na wananchi kuwa kama wao. Hapo usisahau na serikali yenyewe!!!
Woote ni kama pipa na mfuniko wake!!
Kazi ipo na makamba anajidanganya kwamba anaweza kupambana na chadema kamuagiza mwenyekiti wa uvccm kuandaa mpango wa kupambana na chadema kila kona na eti wameomba usalama wa taifa kuhakikisha wanawajulisha mbinu zote za chadema kabla hazijatekelezwa. Jamani tuwe tayari kwa mapambano wabunge wetu tuko tayari tunawasubiri.
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.
Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Endelea kujifanya ujui....lakini iko siku utajuwa. Huwa nafatilia sana hoja zako hapa jamvini....wewe huna tafauti na ccm'kubishana na wakati
WanaJF
Hakuna kulala.Waandae tu usalama wa Taifa.Kama tulivyowahi kusema, usalama wa Taifa wamegeuka kuwa usalama wa ccm. Hata hivyo hakuna kulala Maandamano ya nchi nzima yatakapofanyika kitaeleweka. Tumeiambia Serikali kinachotakiwa ni busara, lakini busara itakaposhindikana wasidhani wanaweza kupambana na"nguvu ya Umma". Ukombozi ndio unaanza na ninaona wanazidi kutaidia kufikia iukamilifu wa ukombozi huo.Wenye mapenzi mema na nchi yetu tuendelee kushikamana, Katiba si mali ya CCM, si mali ya Rais. Ni mali ya Rais. Kama nilivyosema kwenye Kongamano "Mtoto hawezi kumzaa Mama yake". Naona wengi hawajaelewa.
<br />Jana Mboe Mwnyekiti wake kasema kama kushangilia sio kosa iweje kuzomea iwe kosa? au Tindu hajamsikia Bosi wake? ishu ya watoto haipo as wote inaonekana ni above 18 years, mbona kwenye maandamano wanakusanywa? kama issue ni kulala wameiga viongozi wao pale bungeni kila siku wanauchapa, hata Ngeleja keshauchapa mkutanoni mbele ya JK kule paris.
Afadhali watoto wanaoenda ukumbini na kusinzia kuliko majitu mazima yanasoma chuo kikuu yanadanganywa na chadema kwenda kuzomea! Hopeless kabisa!majimshindo wakati mwingine uwe unashirikisha ubongo,watoto kujifunza kwa vitendo ndo wakakae frontline watu wenye kuchangia mada wakose pa kukaa? Kujifunza kwa vitendo ni kuchapa usingizi siKuwa siriaz kidogo hata kama unalipwa kwa ajili ya propaganda jtdi uwe mzalendo jamani kha!