PreGE2025 Tundu Lissu ataachiliwa kabla ya Uchaguzi Mkuu na Atagombea japo hatashinda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,487
Reaction score
2,599
Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu.

Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito kweli kweli, Huyu mtu simjui ila nimepitia Huko youtube anatabiri mambo mengi sana. sasa Sijui kama ni kweli au la msikilize mwenyewe


View: https://www.youtube.com/watch?v=miiKEwN8wzE
 
Sidhan kama ana mpango wa kuhombea
 
Hatuachii gaidi!!
 
Je amewahi kutabiri matukio magapi yakatimia kama alivyotabiri?
 
Wananchi tutamtoa huko gerezani na kumpa uraisi.
 
Hao wengine wanacheza na upepo.....wanaamini kesi ni ya mchongo hivyo hakuna namna ataachiwa tu. So huu sio unabii
 
Daa manabii ni wengi mno,Sasa inakuaje hatoshinda wakati mnasema an mafuriko ya watu? 😁😁
 
Niseme tu kwa vile anavyohurumisha hataachia na hatanyongwa ila yale maneno yatampeleka gerezani japo miyaka mitatu au mitano.
na wakimuachia huru mwananchi wa kawaida itabidi wapige kelele kwanini wanasiasa wanaachiliwa hovyohovyo tu ,kesi kama hii iliwakuta CUF ya miaka ile kule Pemba sema walishitakiwa kwa serikali ya mapinduzi ambayo haipo kama ingekuwa ya Tanzania sawa ila ni wanasiasa , Je akitokea mwananchi wa kawaida akatamka maneno kama ya mheshimiwa Lisu unafikiri atavuka ???
Itaambiwa adhabu yake ni mfano kwa wengine.
 

Makosa ya mtandao Yana fine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…