Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Lisu kuachiwa siyo issue sn, kwanza hana kosa lolote zaidi ya uonevu wa kipumbavu
Maneno yapi katamka? UWT mna akili za kipumbavu snNiseme tu kwa vile anavyohurumisha hataachia na hatanyongwa ila yale maneno yatampeleka gerezani japo miyaka mitatu au mitano.
na wakimuachia huru mwananchi wa kawaida itabidi wapige kelele kwanini wanasiasa wanaachiliwa hovyohovyo tu ,kesi kama hii iliwakuta CUF ya miaka ile kule Pemba sema walishitakiwa kwa serikali ya mapinduzi ambayo haipo kama ingekuwa ya Tanzania sawa ila ni wanasiasa , Je akitokea mwananchi wa kawaida akatamka maneno kama ya mheshimiwa Lisu unafikiri atavuka ???
Itaambiwa adhabu yake ni mfano kwa wengine.
Punguani wewe. Anashitakiwa kwa ugaidi?Hatuachii gaidi!!
Kimekukula billioni ngapi?
Hapo ndio amechemkaAtagombea kwa tume ipi?
Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu.
Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito kweli kweli, Huyu mtu simjui ila nimepitia Huko youtube anatabiri mambo mengi sana. sasa Sijui kama ni kweli au la msikilize mwenyewe
View: https://www.youtube.com/watch?v=miiKEwN8wzE
Wewe nawe unakaribia kuwa kichaa.Tuliza kipago hicho.acha kujifanya unajua matusi mshenzi we
Atagombea kwa tume ipi?
Anagombea kupitia chama gani?Sidhan kama ana mpango wa kuhombea
Muulize mtoa postAnagombea kupitia chama gani?
Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu.
Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito kweli kweli, Huyu mtu simjui ila nimepitia Huko youtube anatabiri mambo mengi sana. sasa Sijui kama ni kweli au la msikilize mwenyewe
View: https://www.youtube.com/watch?v=miiKEwN8wzE
Sijakuuliza wee.Muulize mtoa post

mmmh mbona hii nchi watu wanapenda sana kula hela za wananchi kirahisi hivyo
amuulize anayetabiriMuulize mtoa post
Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu.
Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito kweli kweli, Huyu mtu simjui ila nimepitia Huko youtube anatabiri mambo mengi sana. sasa Sijui kama ni kweli au la msikilize mwenyewe
View: https://www.youtube.com/watch?v=miiKEwN8wzE
mwanamke kuwa na matusi haipendezi mamaAnagombea kupitia chama gani?
HawasemiKimekukula billioni ngapi?
kweli kabisaMtu yoyote anayezungumzia amani bila kuzungumzia haki namuona ni kibaraka wa CCM tu.