GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Una elimu juu ya mambo ya sheria?
 

Waanze na Samia.

Kesi kaitengeneza mwenyewe hivyo asiogope kutinga Mahakamani kuitolea ushahidi.
 
Umeelewa unachokiandika?Wewe ni unataaluma ya Sheria?
Unaelewa maana ya kuwaita hao Mashahidi wa nje?Unaelewa maana ya Samia kuitwa ?

Tuulize tuliosoma Sheria ,wewe nenda ukapate ukuu wa wilaya huko
 
Kwanza hakukua na sababu ya kuniattack kuwa nimeandika uharo.Lilikuwa ni swali la kawaida ambalo ungejibu kistaarabu na ukaeleweka.
 
Lissu hana akili kama zako.
 
Umeelewa maana ya kuwahitaji hao mashahidi au umeanza certificate jana ndio unaona umemaliza sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…