GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Kimsingi Tundu amechanganyikiwa mazima, anaharibu kesi yake mwenyewe. Anazidi kuweka kiwingu kwenye kesi yake.

Halafu mazoba wa CDM wanasema eti Tundu anawafundisha sheria mawakili wa Serikali. My foot

Huyu mtu alipaswa asimamiwe na wakili na siyo kujisimamia. Wahenga wlaisema mganga hajigangi, lakini Tundu anataka kujiganga.

Hata kwa akili ya kindergarten, Samia au Mpango au DCI Kingai hawawezi kuwa mashahidi wake. Hao watawakilishwa na Mwansheria wa Serikali tu.
 
Kwa akili yako unaona kabisa hii kesi ipo serious?
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Wewe unajiweka kwenye nafasi ya mtuhumiwa; ulikuwepo wakati hayo anayotuhumiwa nayo yakitokea; hadi umpangie utetezi wake uweje?
 
Hujanielewa unaandika uharo unaofikiria kichwani. Nchi yetu inatumia mfumo wa adversarial system ambapo upande uliomwita shahidi hutakiwi kum cross examine shahidi wake zaidi ni examination in chief. Hivyo mawakili wa serikali ndio watakao wa cross examine hivyo watakuwa na nafisi nzuri zaidi ku prove kesi yao
Unaijua sheria Kweli?
 
Kimsingi Tundu amechanganyikiwa mazima, anaharibu kesi yake mwenyewe. Anazidi kuweka kiwingu kwenye kesi yake.

Halafu mazoba wa CDM wanasema eti Tundu anawafundisha sheria mawakili wa Serikali. My foot

Huyu mtu alipaswa asimamiwe na wakili na siyo kujisimamia. Wahenga wlaisema mganga hajigangi, lakini Tundu anataka kujiganga.

Hata kwa akili ya kindergarten, Samia au Mpango au DCI Kingai hawawezi kuwa mashahidi wake. Hao watawakilishwa na Mwansheria wa Serikali tu.
Anajua kabisa hao watu Kwa mujibu wa sheria ya ushahidi ya Tanzania Wana immunity na hivyo sio compellable
 
TOKA MAKTABA :

22 September 2025
High Court of Tanzania
Kivukoni Front
Dar Es Salaam, Tanzania

TUNDU LISSU NAMES SAMIA HASSAN, MARTHA KARUA AMONG 15 WITNESSES IN TREASON CASE
1758547383332.jpeg

Criminal Case No. 19605/2025 : Republic vs Tundu Lissu September 2025

Tanzanian opposition leader and CHADEMA Chairman Tundu Lissu has submitted a list of 15 witnesses he intends to call in his ongoing treason case before the High Court in Dar es Salaam. The list features senior government officials, security chiefs, party leaders, journalists, and prominent regional activists.

Among those named are President Samia Suluhu Hassan, Vice President Philip Mpango, and Prime Minister Kassim Majaliwa.

Lissu also named CHADEMA Vice Chairman John Heche, Acting Secretary General John Mnyika, and Deputy Secretary General Amani Golugwa.

Also listed are Inspector General of Police Camillus Wambura, Police Commissioners Ramadhani Kingai and Ramadhani Ng’anzi, and the Director General of the National Security and Intelligence Department.

From outside Tanzania, Lissu has named Ugandan activist Agatha Atuhaire and four Kenyan figures: activist Boniface Mwangi, former Chief Justice Dr. Willy Mutunga, lawyer-politician Martha Karua, and Jambo TV Director John Marwa.

The trial continues before a three-judge panel at the Dar es Salaam sub-registry of the High Court

Source :mwanzo TV / X
 
List of Witnesses for @TunduLissu

1.Samia Suluhu Hassan – President of the United Republic of Tanzania

2. Philip Mpango – Vice President

3. Kassim Majaliwa – Prime Minister

4.General Wambura – Chief of Defence Forces

5.Ramadhani Kingai – Police Commander

6.Director of National Security and Intelligence (name unknown)

7.Ramadhani Nganzi – Deputy Inspector General of Police

8.Agatha Atuhaire – Journalist who was abducted and tortured

9.Boniface Mwangi – Activist from Kenya

10.John Maro – Director of Jambo TV

11.Amani Golugwa – Deputy Secretary General and knowledgeable about the convening of the said meeting

12.John Wegesa Heche – Vice Chairman, aware of the events and location until the arrest on April 9

13.John Mnyika – Secretary General of CHADEMA

14.Retired Judge Willy Mutunga – Nairobi, Kenya

15.Martha Karua – Politician and Lawyer, Nairobi, Kenya
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Hao kwenye cross examination wanakuja kuthibitisha kuwa kesi nzima ni ya mchongo.

Shahidi wa Lissu namba moja ambaye ndio mshindani wake ana maslahi kwenye hii kesi, na vyombo vya Dola ikiwemo mahakama lao moja...

Njama ya kupata ushindi kwa chama tawala isivyo halali. 🤓
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Anajua anachofanya huyu mzee.
 
Kimsingi Tundu amechanganyikiwa mazima, anaharibu kesi yake mwenyewe. Anazidi kuweka kiwingu kwenye kesi yake.

Halafu mazoba wa CDM wanasema eti Tundu anawafundisha sheria mawakili wa Serikali. My foot

Huyu mtu alipaswa asimamiwe na wakili na siyo kujisimamia. Wahenga wlaisema mganga hajigangi, lakini Tundu anataka kujiganga.

Hata kwa akili ya kindergarten, Samia au Mpango au DCI Kingai hawawezi kuwa mashahidi wake. Hao watawakilishwa na Mwansheria wa Serikali tu.
Mahakama imepokea orodha ya mashahidi wa Lissu na imepangwa kuendelea 6/10/2025.... Hakuna kilichoharibika mbona.
 
Sio lazima lakini Mahakama ikiamua kukuita inatoa wito rasmi wa mahakama "Summons" ambayo huwezi kuikwepa wala kukataa. 😂
Ok. Na je nikiitwa na Mahakama kutoa ushahidi nikasema sijui itakuwaje!
Naomba niendelee kujifunza
 
Back
Top Bottom