GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kimsingi Tundu amechanganyikiwa mazima, anaharibu kesi yake mwenyewe. Anazidi kuweka kiwingu kwenye kesi yake.

Halafu mazoba wa CDM wanasema eti Tundu anawafundisha sheria mawakili wa Serikali. My foot

Huyu mtu alipaswa asimamiwe na wakili na siyo kujisimamia. Wahenga wlaisema mganga hajigangi, lakini Tundu anataka kujiganga.

Hata kwa akili ya kindergarten, Samia au Mpango au DCI Kingai hawawezi kuwa mashahidi wake. Hao watawakilishwa na Mwansheria wa Serikali tu.
Wew KILAZA I think unapaswa kutofautisha kati ya legal rights na strategy. Kikatiba na kwa mujibu wa Criminal Procedure Act kila mtuhumiwa ana absolute right ya kujitetea mwenyewe au kutumia wakili. So, the fact that Lissu is selfrepresenting siyo kosa wala udhaifu, bali ni constitutional choice.Kuhusu mashahidi sheria haijali cheo cha shahidi, kinachoangaliwa ni relevance to the case. Hata Rais, Waziri au DCI wanaweza kuitwa endapo taarifa zao zina umuhimu. Ni kweli taratibu za kisheria na kiutawala zitasimamiwa na State Attorneys lakini hilo halifuti haki ya upande wa utetezi kumuita mtu yeyote kama shahidi.
Kusema kwamba anajiharibia is more of a political statement than a legal one. Kesi zenye sura ya kisiasa mara nyingi zina dual purpose moja ni kujitetea kisheria, na nyingine ni kufichua udhaifu wa upande wa mashitaka na kupeleka ujumbe kwa umma. That’s exactly what Lissu is doing turning the courtroom into both a legal and political battlefield.So, instead of assuming he is messing up his case, tuone kwamba anarun a deliberate strategy ya lawfare kutumia sheria si tu kama ulinzi, bali pia kama silaha ya kisiasa.
 
Shahidi huwa anaongozwa na wakili, na ktk kesi hii Lissu anajitetea mwenyewe. Hivyo Samia ataongozwa (atahojiwa) na Lissu mwenyewe. Kumbuka Lissu anaielewa sheria vizuri hajakurupuka kuwaorodhesha hao
Tunaongea nini? Unafahamu intention ya examination in chief? Unafahamu Kuna misingi na kanuni zinazosimamia examination in chief? Unadhani mahakama haitazingatia hizo kanuni? Nature ya maswali ni ya kumwongoza tuu na kama shahidi ana uwezo wa kuelezea fact in issue mwenyewe bila kuweka irrelevant facts bas anayemwongoza Hana kazi
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Kwa mfano mimi nikufungulie kesi ya kukusingizia kuwa uliiba sehemu fulani wakati najua kabisa haukuwapo eneo la tukio na nimekula njama ya kukuharibia tu.
Then ulipofika wakati wako kujitetea ukanitaja mimi kama shahidi ambae nitatakiwa kusema nilikuwa wapi siku ya tukio na nielezee niliibaje,huoni kama utakuwa umeshanipiga knock out na uongo wangu?
 
AUDIO OF TODAY'S COURT PROCEEDINGS 22 September 2025

PART 1

PART 01: WAKILI WA SERIKALI AGEUKA KITUKO MBELE YA TUNDU LISSU JAJI AMKATAA " FUNGUA KESI YAKO "

Criminal Case No. 19605/2025 : Republic vs Tundu Lissu September 2025 22 : Court Sitting of September 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=AO8ntaZ6CxI
TUNDU LISSU NAMES SAMIA HASSAN, MARTHA KARUA AMONG 15 WITNESSES IN TREASON CASE


September 22, 2025
Kevin Sewe

Lissu names Samia, 3 Kenyans and a Ugandan as witnesses in his treason charges



The Chairman of Tanzania’s main opposition party, Chadema, Tundu Lissu, has named a list of high-profile witnesses in the treason charges he is facing in Tanzania. The list includes top government officials, security personnel, journalists, and activists, sparking international attention and concern.



Lissu’s decision to call these witnesses comes after he was arrested on April 9, 2025, in Mbinga, following a peaceful rally advocating for electoral reforms. He was subsequently charged with treason, a non-bailable offense that carries the potential death penalty. The arrest and charges have been widely condemned by human rights groups and international organizations, who see them as a blatant attempt to silence dissent and undermine democracy in Tanzania.

The witnesses named by Lissu include President Samia Suluhu Hassan, Vice President Philip Mpango, and Prime Minister Kassim Majaliwa, who may be called to testify on the government’s actions leading to Lissu’s arrest. Other key witnesses include Camilius Wambura, Tanzania’s Inspector General of police, and Ramadhani Kingai, Police Commander, who could provide insight into the security forces’ role in Lissu’s detention.

Also listed by Lissu as his witnesses are Chadema vice chairperson John Heche, the party’s Secretary General, John Mnyika, and Deputy Secretary General Amani Golugwa.

Additionally, three Kenyans and one Ugandan have been summoned by Lissu to testify in his case. They include activist Agatha Atuhaire, who was kidnapped and tortured, and Boniface Mwangi, a Kenyan activist, who may testify on the government’s human rights record and crackdown on dissent. Other notable witnesses include John Maro, Director of Jambo TV, and Martha Karua, a politician and lawyer from Kenya. Also, to stand on the witness stand is former Kenyan Chief Justice Willy Mutunga.

International Concerns

The international community has expressed grave concern over Lissu’s arrest and the charges against him. The European Parliament has adopted a resolution calling for Lissu’s immediate release and for free and fair elections in Tanzania. Amnesty International has also condemned Lissu’s arrest, stating that it is a clear attempt to silence critics and undermine democracy.



As the case against Lissu continues, the international community is watching closely, with many calling for the Tanzanian government to respect human rights, freedom of expression, and the rule of law. The outcome of this case could have significant implications for Tanzania’s democracy and human rights record.
Source : mwanzo tv
 
Wew KILAZA I think unapaswa kutofautisha kati ya legal rights na strategy. Kikatiba na kwa mujibu wa Criminal Procedure Act kila mtuhumiwa ana absolute right ya kujitetea mwenyewe au kutumia wakili. So, the fact that Lissu is selfrepresenting siyo kosa wala udhaifu, bali ni constitutional choice.Kuhusu mashahidi sheria haijali cheo cha shahidi, kinachoangaliwa ni relevance to the case. Hata Rais, Waziri au DCI wanaweza kuitwa endapo taarifa zao zina umuhimu. Ni kweli taratibu za kisheria na kiutawala zitasimamiwa na State Attorneys lakini hilo halifuti haki ya upande wa utetezi kumuita mtu yeyote kama shahidi.
Kusema kwamba anajiharibia is more of a political statement than a legal one. Kesi zenye sura ya kisiasa mara nyingi zina dual purpose moja ni kujitetea kisheria, na nyingine ni kufichua udhaifu wa upande wa mashitaka na kupeleka ujumbe kwa umma. That’s exactly what Lissu is doing turning the courtroom into both a legal and political battlefield.So, instead of assuming he is messing up his case, tuone kwamba anarun a deliberate strategy ya lawfare kutumia sheria si tu kama ulinzi, bali pia kama silaha ya kisiasa.
I don't give a damn kuniita KILAZA lakini mimi ni mtaalamu wa psychology. Tundu ameathiriwa na risasi hadi kwenye ubongo ndiyo maana hata akiwa kuzimbani anakuwa kituko.

Hata Nelson Mandela alikuwa amesoma sheria ila hajamaliza LLB yake akiwa chuo lakini aliweka wakili kwa jina la George Bizos. Wakili wake alisaidia Mandela asipate hukumu ya kifo kwa kuongeza maneno matatu tu ya "if needs be" kwenye utetezi wake. Lakini Tundu ni ROPOROPO tu

Screenshot_20250922_221723_Google.jpg
 
Kimsingi Tundu amechanganyikiwa mazima, anaharibu kesi yake mwenyewe. Anazidi kuweka kiwingu kwenye kesi yake.

Halafu mazoba wa CDM wanasema eti Tundu anawafundisha sheria mawakili wa Serikali. My foot

Huyu mtu alipaswa asimamiwe na wakili na siyo kujisimamia. Wahenga wlaisema mganga hajigangi, lakini Tundu anataka kujiganga.

Hata kwa akili ya kindergarten, Samia au Mpango au DCI Kingai hawawezi kuwa mashahidi wake. Hao watawakilishwa na Mwansheria wa Serikali tu.

..kuna HOJA Lissu anataka kui-prove kupitia maelezo ya Raisi, Makamu, Waziri Mkuu, na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.

..Upande wa Mashtaka unadai Lissu aliitishia serikali. Kwa hiyo hoja ya Lissu ni kutaka hao wahusika wafike mahakamani kueleza namna serikali ilivyotishiwa.

..Sasa inawezekana katika maelezo na mahojiano wakiwa Mahakamani, au kwa namna nyingine, maelezo yao yakamsaidia Lissu, au yasimsaidie.

..Shahidi anapoitwa mahakamani upande uliomuita unakuwa na mategemeo kwamba atasaidia hoja za upande huo. Lakini hiyo sio guarantee kwani mambo yanaweza kubadilika wakati shahidi anahojiwa.

..Nadhani ni makosa kusifia au kubeza uchaguzi wa mashahidi. Hakuna mwenye guarantee kwamba shahidi fulani atakuwa wa msaada, au atauharibia upande uliomuita.

NB:

..Mama Samia amekuwa akisema Lissu ni mwanae. Sasa kuna makosa gani mtu kumuita "Mama yake" ili amuokoe katika kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa?
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Broo kumbuka unaweza kumuelekeza shahidi aseme nini, tena anapokuwa chini ya kiapo cha kusema ukweli.
 
Kimsingi Tundu amechanganyikiwa mazima, anaharibu kesi yake mwenyewe. Anazidi kuweka kiwingu kwenye kesi yake.

Halafu mazoba wa CDM wanasema eti Tundu anawafundisha sheria mawakili wa Serikali. My foot

Huyu mtu alipaswa asimamiwe na wakili na siyo kujisimamia. Wahenga wlaisema mganga hajigangi, lakini Tundu anataka kujiganga.

Hata kwa akili ya kindergarten, Samia au Mpango au DCI Kingai hawawezi kuwa mashahidi wake. Hao watawakilishwa na Mwansheria wa Serikali tu.
Watatoa ushahidi wao kama wao. Hakuna ushahidi wa kuwakilishwa.
 
Back
Top Bottom