GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunaongea nini? Unafahamu intention ya examination in chief? Unafahamu Kuna misingi na kanuni zinazosimamia examination in chief? Unadhani mahakama haitazingatia hizo kanuni? Nature ya maswali ni ya kumwongoza tuu na kama shahidi ana uwezo wa kuelezea fact in issue mwenyewe bila kuweka irrelevant facts bas anayemwongoza Hana kazi
Parachichi kweli
 
Naomba kuelimishwa juu ya hili. Hivi ukitajwa kuwa ni shahidi wa mtu fulani je ni lazima ukubali?
usipo kubali utalazimishwa Kwa njia ya court order unless kama Una kinga. Na hata uikiwa na kinda bado utapelekewa maswali uyajibu na uwe na hiari kama ile ya mkapa- kwenda au kutokwenda…
Lissu anatimiza kauli yake ya atakinukisha…majaliwa na mpango hawana cha kupoteza - waende tu wakatoe huo ushahidi wa uhaini…
 
..kuna HOJA Lissu anataka kui-prove kupitia maelezo ya Raisi, Makamu, Waziri Mkuu, na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.

..Upande wa Mashtaka unadai Lissu aliitishia serikali. Kwa hiyo hoja ya Lissu ni kutaka hao wahusika wafike mahakamani kueleza namna serikali ilivyotishiwa.

..Sasa inawezekana katika maelezo na mahojiano wakiwa Mahakamani, au kwa namna nyingine, maelezo yao yakamsaidia Lissu, au yasimsaidie.

..Shahidi anapoitwa mahakamani upande uliomuita unakuwa na mategemeo kwamba atasaidia hoja za upande huo. Lakini hiyo sio guarantee kwani mambo yanaweza kubadilika wakati shahidi anahojiwa.

..Nadhani ni makosa kusifia au kubeza uchaguzi wa mashahidi. Hakuna mwenye guarantee kwamba shahidi fulani atakuwa wa msaada, au atauharibia upande uliomuita.

NB:

..Mama Samia amekuwa akisema Lissu ni mwanae. Sasa kuna makosa gani mtu kumuita "Mama yake" ili amuokoe katika kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa?
Well answered mkuu Joka Kuu
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Ulikuwepo?
Umampangia mtuhumiwa?
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
We si umesoma veta masuala ya sheria umeyajuaje hadi kuwafundisha jopo la wanasheria wabobezi upande wa lissu?!.
We subiri uone kama kilaxa chura kiziwi atatokea mahakamani.
 
Siku wakitokeza Mahakamani niite mbwa, niko pale

..Samia anaweza asiende, kwasababu ya nafasi yake. Je, Dr.Mpango, na Majaliwa, watakuwa na sababu gani za kutokwenda kutoa ushahidi?

..Ninavyoelewa wao wana kinga ya kutoshtakiwa, hata baada ya kutoka madarakani, lakini sina uhakika kama wana kinga ya kutokuitwa mahakamani.

..Uwezekano mkubwa ni kuwa Dr.Mpango, na Majaliwa, wataitwa mahakamani baada ya Oct 29 ambapo hawatakuwa na kinga ya nafasi zao, kama kinga hiyo ipo.
 
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Anayeit shahidi ana examine in chief na ana
rexamine.Kazi ya shahidi siyo kutetea bali kuprove au kudisapprove facts.
 
I don't give a damn kuniita KILAZA lakini mimi ni mtaalamu wa psychology. Tundu ameathiriwa na risasi hadi kwenye ubongo ndiyo maana hata akiwa kuzimbani anakuwa kituko.

Hata Nelson Mandela alikuwa amesoma sheria ila hajamaliza LLB yake akiwa chuo lakini aliweka wakili kwa jina la George Bizos. Wakili wake alisaidia Mandela asipate hukumu ya kifo kwa kuongeza maneno matatu tu ya "if needs be" kwenye utetezi wake. Lakini Tundu ni ROPOROPO tu

View attachment 3477540
Kwanza statement yako kuhusu Tundu Lissu ni antipsychological haikubaliki kwa mtu yeyote anayedai kubobea katika hilo. Psychology ni taaluma ya empirical science na clinical ethics siyo uwanja wa majina ya dharau.Kwa mtazamo wa neuropsychology jeraha la ubongo linapimwa kwa clinical evaluation, neuroimaging, cognitive tests, behavioural observation. Wewe kutupa tamko la kiholela bila evidence ni ishara ya cognitive bias na intellectual shallowness.
Zaidi kumuita manusura wa trauma kituko ni ukiukaji wa kanuni za professional ethics kama zilivyowekwa na American Psychological Association.Kihistoria kulinganisha Mandela na Lissu kwa kejeli yako ni logical fallacy. Mandela aliokolewa na wakili wake George Bizos lakini legitimacy yake ilitokana na moral courage na strategic psychological restraint. Vilevile, Lissu amejenga posttraumatic growth trajectory akibadilisha mateso binafsi kuwa collective political symbolism. Hii siyo roporopo ni textbook example ya resilience theory in action.
Kwa kifupi ukiwa unajificha nyuma ya jina la psychologist huku ukitupa maneno ya kejeli, wewe ndiye unajionesha kuwa intellectually incompetent, ethically bankrupt, and scientifically unserious.
 
usipo kubali utalazimishwa Kwa njia ya court order unless kama Una kinga. Na hata uikiwa na kinda bado utapelekewa maswali uyajibu na uwe na hiari kama ile ya mkapa- kwenda au kutokwenda…
Lissu anatimiza kauli yake ya atakinukisha…majaliwa na mpango hawana cha kupoteza - waende tu wakatoe huo ushahidi wa uhaini…
Ahaaa sawa. Na kama je nitakuwa sina majibu ya swali nitakaloulizwa?
 
Ngoja nikujibu, lakini sijui kama utanielewa kutokana na nilivyo kusoma tangia mwanzo wa mada hii.

JIBU:
Kama wewe ni binaadam, unayejitambua kuwa unao utashi uliopewa na Mungu; utautumia utashi wako huo ambao hauwezi kuingiliwa na mtu mwingine yeyote.
Unaweza kuamua chochote mradi huvunji sheria.
Hakuna sheria hata moja inayo mlazimisha mtu kukiuka utashi wake katika mahakama yoyote..
Hakuna anayeweza kukulazimisha ukubali/ukatae kwa kukiuka unavyo elekezwa na utashi wako binafsi..

Unaweza kutumia utashi huo huo kutunga ushahidi wa uongo, au uakautumia kukataa kushuhudia uongo..

Nimemaliza.
Ahsante sana, sasa nadhani nimeelewa
 
Ahaaa sawa. Na kama je nitakuwa sina majibu ya swali nitakaloulizwa?
Unaweza kukaa kimya- Ila inawezekana kutiwa hatiani Kwa contemp of court. Yaani wewe sio bubu, unaitwa kuisaidia mahakama ili itambue kama mtu Ana hatia au la , hakafu inaidharau Kwa namna yo-yoyote ile… watakubananga… ni lazima…
 
Kwanza, statement yako kuhusu Tundu Lissu ni antipsychological, haikubaliki kwa mtu yeyote anayedai kubobea katika hilo. Psychology ni taaluma ya empirical science na clinical ethics siyo uwanja wa majina ya dharau.Kwa mtazamo wa neuropsychology jeraha la ubongo linapimwa kwa clinical evaluation neuroimaging, cognitive tests, behavioural observation. Wewe kutupa tamko la kiholela bila evidence ni ishara ya cognitive bias na intellectual shallowness.
Zaidi, kumuita manusura wa trauma kituko ni ukiukaji wa kanuni za professional ethics kama zilivyowekwa na American Psychological Association.
Kihistoria kulinganisha Mandela na Lissu kwa kejeli yako ni logical fallacy. Mandela aliokolewa na wakili wake George Bizos lakini legitimacy yake ilitokana na moral courage na strategic psychological restraint. Vilevile, Lissu amejenga posttraumatic growth trajectory, akibadilisha mateso binafsi kuwa collective political symbolism. Hii siyo roporopo ni textbook example ya resilience theory in action.
Kwa kifupi, ukiwa unajificha nyuma ya jina la psychologist huku ukitupa maneno ya kejeli, wewe ndiye unajionesha kuwa intellectually incompetent, ethically bankrupt, and scientifically unserious.
Your statement is a pathetic attempt at intellectual posturing, dripping with self-righteous indignation and zero substance. Calling my take on Tundu Lissu "antipsychological" is laughable—it's a made-up term that exposes your desperation to sound profound while dodging actual arguments. Psychology is indeed an empirical science, but you’re wielding it like a blunt club, not a scalpel. You demand clinical evaluations, neuroimaging, and cognitive tests to assess brain injury? Fine—show me your data on Lissu, or admit you’re just blowing hot air. Throwing around buzzwords like “cognitive bias” and “intellectual shallowness” without engaging my point directly reeks of projection.
Your sanctimonious jab about professional ethics and the American Psychological Association is rich. You’re not defending ethics; you’re weaponizing them to silence dissent. Calling a trauma survivor a “kituko” might sting, but it’s not a violation of any ethical code—it’s an opinion, not a clinical diagnosis. Get off your high horse. If you want to play ethics police, at least cite a specific APA guideline instead of vague moralizing.
Comparing Mandela to Lissu? Please. You accuse me of a logical fallacy but then romanticize Lissu’s “posttraumatic growth trajectory” like it’s gospel truth. Where’s your evidence for this “textbook resilience”? You’re cherry-picking narratives to prop up a shaky argument, not analyzing data. Mandela’s legacy was built on decades of sacrifice and strategic brilliance, not just “moral courage” or “psychological restraint.” Equating Lissu’s journey to that is intellectual laziness dressed up as insight.
You call me “intellectually incompetent, ethically bankrupt, and scientifically unserious”? Look in the mirror. Your entire response is a tantrum of jargon and sanctimony, devoid of rigor or coherence. If you’re going to come at me, bring facts, not feelings. Step up or sit down
 
Unaweza kukaa kimya- Ila inawezekana kutiwa hatiani Kwa contemp of court. Yaani wewe sio bubu, unaitwa kuisaidia mahakama ili itambue kama mtu Ana hatia au la , hakafu inaidharau Kwa namna yo-yoyote ile… watakubananga… ni lazima…
Ahsanteni sana. Nimejifunza kitu
 
Ahaaa sawa. Na kama je nitakuwa sina majibu ya swali nitakaloulizwa?

..kuna mashahidi wengine wanapohojiwa mahakamani husema hawajui, au wamesahau.

..sasa kutegemeana na maswali ambayo shahidi amejibu mwanzo, maelezo ya ushahidi wake kabla hajafika mahakamani, au wasifu wake, majibu hayo yanaweza kumfanya hakimu aone shahidi ni mkweli, au sio mkweli.

..kwa kifupi, jukumu la shahidi ni kusema UKWELI ili kuisaidia mahakama kutoa hukumu ya HAKI. Jukumu la mashahidi sio kumkandamiza, au kumuokoa mshtakiwa.

..kabla ya kutoa ushahidi mhusika hula KIAPO kwamba atasema UKWELI.
 
Back
Top Bottom