Tundu Lissu atamani kuwepo na viongozi wanawake kwenye safu za juu za uongozi CHADEMA

🤣🤣🤣🤣 ikiwa Akina Prof Shivj,Jaji Warioba, Ulimwengu na manguli wa hapa Tanzania , wanakiri juu ya Uwezo mkubwa wa LISSU , wewe ni nani Mkuu?.

Uliisikia Speech ya LISSU pale Makelele University?. Ulimwelewa?.
Achana nae inzi wa kijani tu. Anatafuta tu kutukanwa humu wakati watu tupo kwenye Ramadhani na Kwaresma.
 
Mama yenu akiupiga mwingi inatosha haya mengine waachie wanaohusika mkuu
 
Kama huwezi kumwelewa Tundu Lissu anapoelekeza au kufundisha jambo fulani, basi wewe ni zoba uliyeshindikana kabisa darasani...!!

Speech ya Tundu Lissu jana kwa wanawake, ni moja ya speech bora kabisa. Ni speech ambayo imejengwa kwenye takwimu na facts tupu na sio kelele na maneno matupu tu...

Na hii ndiyo tofauti ya uhutubiaji Mwenyekiti aliyestaafu wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu..

Nimemtazama Bi Samia Suluhu Hassan jana. Hotuba yake ni ya hovyo yenye maneno ya kusoma na kukariri tu. I am sure hata yeye alikuwa hajui anazungumza nini...!!
 
Huyo Chiba ameweza kumaliza speech bila kumshambulia Mbowe?
 
Unajua alipgwa risasi kwanini??
Sawa KENGE maoni yako yaheshimiwe!!
 
Angalau kwa siku moja tusingewazungumzia Mbowe na Lissu. Ilitakiwa tumpongeze Sharifa na wenzake kwa kuiunganisha Bawacha na kuweza kuandaa sherehe bila mikeke yoyote. Na kwa kuifanikisha kwa kutumia nguvu na michango yao wenyewe kwa kiasi kikubwa. Hii Bawacha inatisha.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…