Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara.
Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa Rais aliyeko madarakani maamuzi yoote yanayohusu fedha na mapato ya Taifa bila ridhaa ya mtu mwingine yeyote.
Jambo hilo limesemwa utatuzi wake uko kwa Mtu Mmoja tu ambaye ni Rais.
Asomaye afahamu