Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

Hivi tunashindwanini kuindoa ccm na kumuweka Lissu kuwa Raisi atukatmatie wezi wetu wakodi zetu.
Tema mate chini mkuu....

Kubadili STATUS QUO ni jambo la hatari.......

Bora ya CCM kuliko hao akina Lissu.....

Usihadaike tu na ULIMI MTAMU wa mchungaji ama sheikh.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Huyu ni mwamba haswa!
Chadema wamshike awe mwenye kiti maana yule jamaa kasha waacha kwa umbali mkubwa walahi![emoji3062]
Umwamba gani ?!!!

Wa kipaji cha kuongea?!!!

Kwa hiyo kipaji cha kuongea ni lazima kiendane na uadilifu na uzalendo?!!!!

Hebu someni historia ya tawala tofauti duniani kabla na baada ya kuzaliwa Yesu na za leo hii .....
 
Hivi mh.Liz Truss alijiuzulu kwa sababu si fasaha wa kuongea kama TL?!!!

Hivi Mh.Boris Johnson alienguliwa kwa sababu si fundi wa HOJA kama TL?!!!

Watanzania tuendelee kujifunza.....SIASA ni zaidi ya kujenga hoja kuntu.....

Siasa si ndani tu......

Siasa ya nchi inaendana na historia na misingi ya nchi......

Anachotuaminisha TL ni ushawishi usioendana na USIMIKWAJI WA TAIFA LETU.....anataka aiondoe STATUS QUO.....hivi unaamini kirahisi tu ni uzalendo wake usio na msukumo wa kutoka KUSIKOJULIKANA?!!!!

Bora ya CCM tu......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Tema mate chini mkuu....

Kubadili STATUS QUO ni jambo la hatari.......

Bora ya CCM kuliko hao akina Lissu.....

Usihadaike tu na ULIMI MTAMU wa mchungaji ama sheikh.....

#SiempreJMT[emoji120]
Mkuu ubora umeupima kwakipimo gani bila kuwapa nafasi wakaongoza tukapima wewenyewe bila kuambiwa na mtu,kwani hawa kina Lisu ni raia wa nchi ngani?
 
Hivi mh.Liz Truss alijiuzulu kwa sababu si fasaha wa kuongea kama TL?!!!

Hivi Mh.Boris Johnson alienguliwa kwa sababu si fundi wa HOJA kama TL?!!!

Watanzania tuendelee kujifunza.....SIASA ni zaidi ya kujenga hoja kuntu.....

Siasa si ndani tu......

Siasa ya nchi inaendana na historia na misingi ya nchi......

Anachotuaminisha TL ni ushawishi usioendana na USIMIKWAJI WA TAIFA LETU.....anataka aiondoe STATUS QUO.....hivi unaamini kirahisi tu ni uzalendo wake usio na msukumo wa kutoka KUSIKOJULIKANA?!!!!

Bora ya CCM tu......

#SiempreJMT[emoji120]
Pumba tu ulizoandika
 
Nchi haiendeshwi tu KISHERIA.....

Tusomeni tawala za wengine duniani.....
Basic ya kwanza ni sheria bila hivyo kila mtu atafanya yake. Haya kama ni hakima lazima itokane na kanuni ya sheria bora zinazolinda haki na wajibu wa watu
 
Back
Top Bottom