Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Your browser is not able to display this video.

Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara.

Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa Rais aliyeko madarakani maamuzi yoote yanayohusu fedha na mapato ya Taifa bila ridhaa ya mtu mwingine yeyote.

Jambo hilo limesemwa utatuzi wake uko kwa Mtu Mmoja tu ambaye ni Rais.

Asomaye afahamu
 
Chiba naye atulie sio kila jambo lazima apanue domo lake

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba Mpya! Katiba Mpya! Katiba Mpya!

Tunataka Katiba Mpya kufikia 2025
 
Hivi tunashindwanini kuindoa ccm na kumuweka Lissu kuwa Raisi atukatmatie wezi wetu wakodi zetu.
 

Huyu ni mwamba haswa!
Chadema wamshike awe mwenye kiti maana yule jamaa kasha waacha kwa umbali mkubwa walahi![emoji3062]
 
Ccm tukija sikia huyu nae mafua yamepelekea kuganda Kwa damu


Tutapumua , mana !
Lissu: Hizi Kodi hizi, zote ni za Sa100, Waziri wa Fedha ni karani tu.

Jaribu basi hata kidogo kujibu HOJA yake usiwaze kumzima maana Si "Anaeupiga mwingi''?"
 
Jamaa ni kiboko sio mchezo ! 😅
 
Kodi na biashara nayo pia katiba mpya?!!!!

Katiba gani inaanisha viwango vya kodi ?!!![emoji1787][emoji1787]

Hoja yake ya "presidential decree" asiitafutie REJEA katika haya yanayoendelea kariakoo.....

Pwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…