Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Tema mate chini mkuu....Hivi tunashindwanini kuindoa ccm na kumuweka Lissu kuwa Raisi atukatmatie wezi wetu wakodi zetu.
Umwamba gani ?!!!Huyu ni mwamba haswa!
Chadema wamshike awe mwenye kiti maana yule jamaa kasha waacha kwa umbali mkubwa walahi![emoji3062]
Nchi haiendeshwi tu KISHERIA.....Lissu kiukweli anafaa maana yeye kwake ni sheria utawala bora na haki. Nje ya hapo hakuna
Mkuu ubora umeupima kwakipimo gani bila kuwapa nafasi wakaongoza tukapima wewenyewe bila kuambiwa na mtu,kwani hawa kina Lisu ni raia wa nchi ngani?Tema mate chini mkuu....
Kubadili STATUS QUO ni jambo la hatari.......
Bora ya CCM kuliko hao akina Lissu.....
Usihadaike tu na ULIMI MTAMU wa mchungaji ama sheikh.....
#SiempreJMT[emoji120]
Pumba tu ulizoandikaHivi mh.Liz Truss alijiuzulu kwa sababu si fasaha wa kuongea kama TL?!!!
Hivi Mh.Boris Johnson alienguliwa kwa sababu si fundi wa HOJA kama TL?!!!
Watanzania tuendelee kujifunza.....SIASA ni zaidi ya kujenga hoja kuntu.....
Siasa si ndani tu......
Siasa ya nchi inaendana na historia na misingi ya nchi......
Anachotuaminisha TL ni ushawishi usioendana na USIMIKWAJI WA TAIFA LETU.....anataka aiondoe STATUS QUO.....hivi unaamini kirahisi tu ni uzalendo wake usio na msukumo wa kutoka KUSIKOJULIKANA?!!!!
Bora ya CCM tu......
#SiempreJMT[emoji120]
Basic ya kwanza ni sheria bila hivyo kila mtu atafanya yake. Haya kama ni hakima lazima itokane na kanuni ya sheria bora zinazolinda haki na wajibu wa watuNchi haiendeshwi tu KISHERIA.....
Tusomeni tawala za wengine duniani.....
Hakuna anayepinga sheria....ila mambo mengine pia huzingatiwa.....Basic ya kwanza ni sheria bila hivyo kila mtu atafanya yake. Haya kama ni hakima lazima itokane na kanuni ya sheria bora zinazolinda haki na wajibu wa watu