Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Herode aliyejaribu kumuua kwa kummiminia mirisasi bado yupo kitini, Ni lazima Tundu Lissu The Great achukue tahadhari zote. Maana hata wale wachawi 900 wamesema watamuua mtu yeyote atakaye mpinga HerodeAti mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi.
Nimependa uandishi wako.Ati mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi...
Herode aliyejaribu kumuua kwa kummiminia mirisasi bado yupo kitini,
Lissu The GreatestAmesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalame wake na kawatoa hofu wanachama kuwa atarudi
AiseeAti mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi.. Tena mumupe nafasi awanie ili atalii nchini huku akijua JPM ana 5 zaidi..
Musisahau kumuteli kwamba nchi tumeingia uchumi wa kati.. aje tusherekee.. Hapa Kazi tu.. huku beberus wa bahasha za khaki hawapo alivyokuwa amezoea..
Katiba mbovu wananch na ata jesh linataman sn kumsaidia sema wanaish kwa amri kutoka juuHamna mkuu, nimetoa ushauri tu. Jamaa amefanyiwa unyama sana na sio serikali wala wananchi ambao wako tayari kumtetea. Hata walio umizwa na alichofanyiwa hawako tayari kuchukua hatua yoyote.
Ratiba ya nini wakati anatakiwa mahakamani tarehe 14 julai, 2020Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
Huyo anaota ndoto kama kawaida yake. Ati polisi wampinde, kwani yeye nani? Soma hapa Balaah la mwisho la RC Mwanri kabla ya kustaafu (+video) – Millardayo.comLissu The Greatest
Welcome home TL.Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
Wapinzani wana uzoefu mchungu kuteuwa wagombea urais watu wanaotoka Ccm. Augustino na Edward wamewaacha solemba. Nitashangaa wakirudia kosa hili.Chadema lissu atawavusha, sio membe.