mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Uamuzi ni wake achagueKatiba imempa mtu ruhusa ya kupigania haki yake ya kuishi. Lisu ana haki hiyo. Kama kuipigania ni kuishi nje ya Tz hana budi kufanya hivyo na hatakua wa kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uamuzi ni wake achagueKatiba imempa mtu ruhusa ya kupigania haki yake ya kuishi. Lisu ana haki hiyo. Kama kuipigania ni kuishi nje ya Tz hana budi kufanya hivyo na hatakua wa kwanza.
Kupigwa risasi kwa Lissu kulitushtua na kutuumiza sana watanzania.
Lissu kwenda kwenye vyombo vya habari huko ughaibuni na kupaza sauti kwamba Tanzania sio sehemu salama pia kulituumiza watanzania kama Taifa katika nyanja zote.
Nina imani kubwa kwamba uchunguzi utakamilika na haki itatendeka