Mungu ambariki sana Tundu Lissu, ili maono yake yote kwa ajili ya nchi yetu yakapate kutimia na kufikia ukamilifu wote alioukusudia. Huyu kwa hakika ni "icon" ya sasa ya uzalendo hapa nchini.Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
Ati mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi.. Tena mumupe nafasi awanie ili atalii nchini huku akijua JPM ana 5 zaidi..
Musisahau kumuteli kwamba nchi tumeingia uchumi wa kati.. aje tusherekee.. Hapa Kazi tu.. huku beberus wa bahasha za khaki hawapo alivyokuwa amezoea..
Ratiba ya nini wakati anatakiwa mahakamani tarehe 14 julai, 2020
Mwanzo walisema hawezi kupona,hawezi gharama za matibabu na shombo nyingine nyingi.Sasa kapona na anarudi kugombea kihoro cha nini?waliyataka wenyewe.Haya sasa msiempenda huyoo anakuja!! Mliosema hawezi kuludi haya sasa aibu yenu hihyoo
Mzalendo cocochanel habari ya jumapili
Pamoja na mengine yooote bahasha za kaki zimepotea sana kwenye utendaji
Lisu akaribie nchi inahitaji watu wake wote ili kuongeza nguvu kwenye kujenga taifa imara
Kupigwa risasi kwa Lissu kulitushtua na kutuumiza sana watanzania.Jumapili ipo salama kwangu.. namshukuru Mola. Nawe nakusoma naamini upo salama.
Lissu tabu yake.. kesi na malalamiko nchi.. viporo kibao..
Karibu the annointed president. Njoo utuokoe huku kwa Farao mateso yamezidi.Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
Mnafiki mkubwa weweKupigwa risasi kwa Lissu kulitushtua na kutuumiza sana watanzania.
Lissu kwenda kwenye vyombo vya habari huko ughaibuni na kupaza sauti kwamba Tanzania sio sehemu salama pia kulituumiza watanzania kama Taifa katika nyanja zote.
Nina imani kubwa kwamba uchunguzi utakamilika na haki itatendeka
Ofcourse bila shaka hata CDF anajua Lissu anafaa lakini sasa atafanyaje?Katiba mbovu wananch na ata jesh linataman sn kumsaidia sema wanaish kwa amri kutoka juu
Nadhani kwa unafki wewe umenizidi sana pia una uongo mwingi na ubinafsi juuMnafiki mkubwa wewe
hatutaki raisi msimamia hoja tunataka raisi msimamia maendeleo kama Raisi Magufulikiukweli Lisu ana Uwezo mkubwa wa kuisimamia hoja.
Labda wanashauriana kuhusu mchakato wa urais na kampeniAnasema eti kurudi kwake kunategemea mashauriano na chama!!!!! hii kali chama kiachane naye
Sa kama anahofia usalama si asirudi? Mbona mambo mengine mepesi tu
Sa kama anahofia usalama si asirudi? Mbona mambo mengine mepesi tu
Katiba imempa mtu ruhusa ya kupigania haki yake ya kuishi. Lisu ana haki hiyo. Kama kuipigania ni kuishi nje ya Tz hana budi kufanya hivyo na hatakua wa kwanza.Kwa watu hapawezi kuwa pazuri kuliko nyumbani mkuu. Hata mtoto mdogo ukimwacha nje ya nyumbani kuna saa ikifika anamiss wazazi, ndugu, mazingira na kudai kurudi nyumbani. Kumbuka familia ya Lissu, jamaa, marafiki, makazi na kazi viko hapa nyumbani