Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atoa tamko baada ya Wakala wake kuchukua fomu, akumbusha sifa za wanaostahili kuwa wadhamini, asisitiza kurudi nchini

Katiba imempa mtu ruhusa ya kupigania haki yake ya kuishi. Lisu ana haki hiyo. Kama kuipigania ni kuishi nje ya Tz hana budi kufanya hivyo na hatakua wa kwanza.
Uamuzi ni wake achague
 

Tanzania ingekuwa.. sio sehemu salama.. threads za hayo.. humu pasingetosha.. mupo mnalala.. kuzunguka mitaani.. n.k. tuache kuongelea mabaya tusiyo yashuhudia.. ulimi ni hatari

Tumshukuru Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…