Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa kesi ya Halima Mdee na wenzake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Take home msg ni hii:

1. Job Ndugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.

Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments

Take home msg ni hii:

1. Job N dugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.

Msikilize, jibu hoja zake kwa hoje, achana na characters assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments

Ni kweli kabisa, Rais ndiye anayelipa mishahara kwa wabunge wote. Lakini kumtaka Rais azuie mishahara ni kumtaka afanye jambo kinyume cha sheria, ni kumtaka avunje katiba, sasa hatuwezi kufurahia uvunjwaji wa katiba kwa sababu tu utawaondoa Covid 19 bungeni.

Kama ni suala la kuwa Rais aliwapeleka bungeni hao covid 19 kwa maana ya aliwabeba na kuwashawishi basi njia sahihi kwake kuwaondoa bungeni ni kuwashawishi wajiuzulu nafasi zao, jinsi walivyoingia ndio watoke hivyohivyo (off radar).

Rais ana mamlaka makubwa yasiyo kikatiba, mfano kumlipa Lissu fedha bila kuidhinishwa na bunge na pasipo kujustify kwa nini amelipa. Ni kweli inabidi tupate katiba mpya kupunguza mamlaka hayo
 
Sheria ivunjwe mara ngapi?
 
Anavoteua wanajesh kuwa wakuu wa Mikoa na wilaya havunji katiba?
 
Take home msg ni hii:

1. Job Ndugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.

Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments

Ile issue iko complicated. Samia mwenyewe hataki Bunge libaki na vihiyo vitupu.
 
Tundu Lissu hajawahi kuwa na akili. Ni mjinga na mjivuni.
 
Ni kweli kabisa, Rais ndiye anayelipa mishahara kwa wabunge wote. Lakini kumtaka Rais azuie mishahara ni kumtaka afanye jambo kinyume cha sheria, ni kumtaka avunje katiba, sasa hatuwezi kufurahia uvunjwaji wa katiba kwa sababu tu utawaondoa Covid 19 bungeni.

Kama ni suala la kuwa Rais aliwapeleka bungeni hao covid 19 kwa maana ya aliwabeba na kuwashawishi basi njia sahihi kwake kuwaondoa bungeni ni kuwashawishi wajiuzulu nafasi zao, jinsi walivyoingia ndio watoke hivyohivyo (off radar).

Rais ana mamlaka makubwa yasiyo kikatiba, mfano kumlipa Lissu fedha bila kuidhinishwa na bunge na pasipo kujustify kwa nini amelipa. Ni kweli inabidi tupate katiba mpya kupunguza mamlaka hayo
Avunje katiba ipi ambayo haijavunjwa? Labda ya Israel. Ya tz ilishavunjwa saa hii ina P.O.P kila page
 
Ile issue iko complicated. Samia mwenyewe hataki Bunge libaki na vihiyo vitupu.
Hapana mkuu 'Rasterman', Samia angetaka, hili ndilo lingemtambulisha kuwa kiongozi wa kuaminika.

Kunyamaza kwake juu yake ni kubariki mambo yalivyo. Ni mshiriki mkuu wa uharifu huu unaofanyika sasa hivi.
 
Anaingilia mahakama
Hivi Tundu Lissu anewahi kushinda kesi gani ya kupigiwa mfano? Ningependa kujua japo kesi moja tu ambayo Wakili Tundu Lissu aliwahi kushinda ni hukumu yake ni hukumu rejea; moja tu.
Tundu ni maneno mengi watu wanaona kuwa ni mwanasheria nguli. Mimi kwangu nafahamu kwamba Tundu anajua historia siyo sheria.
 
Back
Top Bottom