Mbona chagadema nako bado mkoloni mweusi anaendelea kuongoza?Ili iweje ,soma historia ,viongozi wapigania uhuru waliishi katika kuongoza vuguvugu hizo kwa miaka mingapi.
Lisu ni mmojawapo anepigania UHURU wa nchi hii kutoka kwa mkoloni mweusi anaetuhenyesha tokea waunganishe vyama. nani hakuwa TANU au ASP...
Wamebanwaaa wee, sasa wanakuja na Ushauri mbuzi..upinzani mioyoni mwa wananchi ni mkubwa sana!!Ili iweje ,soma historia ,viongozi wapigania uhuru waliishi katika kuongoza vuguvugu hizo kwa miaka mingapi. Lissu ni mmojawapo anepigania UHURU wa nchi hii kutoka kwa mkoloni mweusi anaetuhenyesha tokea waunganishe vyama...
Katiba ya chadema inasemaje endapo mwenyekiti na makamu wake wasiookuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao? Nani anapaswa kushika nafasi ya uongozi wa chama hicho hali hiyo ikijiyokeza?MSIGWA ili asikosekane mtu wa kikisemea chama toka nafasi ya juu. Mtu kama LISSU akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais
Mjinga mkubwa weweMbona chagadema nako bado mkoloni mweusi anaendelea kuongoza?
Piganieni uhuru wa chagadema kwanza kabla ya kukurupuka!
Mnataka kumuua tena?Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao .Tundu LISSU Aidha amegeuka mkimbizi au bado ni mtanzania .Chadema sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi...
Wanalijua hilo ndiyo maana hawataki tume huru ya uchaguziWamebanwaaa wee, sasa wanakuja na Ushauri mbuzi..upinzani mioyoni mwa wananchi ni mkubwa sana!!
Naona umeamua kutumia makapi ya akili badala ya ubongo uliopewa na muumba wakoMpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao .Tundu LISSU Aidha amegeuka mkimbizi au bado ni mtanzania .Chadema sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi...
Corona hainaga utani kweliMbona chagadema nako bado mkoloni mweusi anaendelea kuongoza?
Piganieni uhuru wa chagadema kwanza kabla ya kukurupuka!
Maccm yanahangaika utadhani kuku anataka kutaga maana wamebanwa kila sehemuWamebanwaaa wee, sasa wanakuja na Ushauri mbuzi..upinzani mioyoni mwa wananchi ni mkubwa sana!!
Corona kiboko ya madikiteetaUkifuata tu katiba ya chadema inamtupa nje ya uongozi Tundu Lissu
Ila kwa kua hakuna demokrasia,anaachwa tu
Lissu anaipaisha Chadema kimataifa kwanza. Ndiyo kazi tumempaUkifuata tu katiba ya chadema inamtupa nje ya uongozi Tundu Lissu
Ila kwa kua hakuna demokrasia,anaachwa tu
Hawajui hawa kuwa Lissu anaipaisha sasa Chadema kuwa ya kimataifa kabla haijaanza kubomoa kabisa CCMMaccm yanahangaika utadhani kuku anataka kutaga maana wamebanwa kila sehemu
Mkabila mjingaq mpaka Basi.Mbona chagadema nako bado mkoloni mweusi anaendelea kuongoza?
Piganieni uhuru wa chagadema kwanza kabla ya kukurupuka!