Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.
CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.
Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.
Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?
Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.
Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Tundu lisu akirudi asihangaike na chadema, chama cha kikanda na ukabila, aanzishe chama chake na ateuwe bila kuangalia dini, kabila n.k.
Chadema ni ngumu kushika dola, chadema ni tawi la wachagga, na watanzania wanaojitambua hawawezi kukubali kukipigia chama chenu kilichosheheni wachagga kiongoze nchi, ni ngumu na mnapoteza muda wenu.
Hivi mtu mpaka anaipigia debe chadema ilhali yeye ni kanda ya ziwa na chadema ni chama cha wachagga anategemea nini endapo wakishika nchi, mtu huyu anajitambuwa kweli!!!! Wachagga wengiwao wamejaa na ubinafsi, roho mbaya na ukatili unategemea wewe msukuma, mkurya, mhaya, myakyusa, mzaramo na waziguwa mtasalimika kweli!!! Tucdanganyane jamani, ni heri kuvipigia debe vyama vya Cuf na Act na siyo chadema chama cha ukabila.
Ushauri wangu kwake tundu lisu, aachane na chadema, arudi tz na aunde chama chake pasiposhirikishwa wachagga ndani ya chama, hapo atapata wanachama.