Tundu Lissu awapongeza sana mbunge Ole Sendeka na Mbunge wa Ngorongoro, aiponda PhD ya Sheria ya Pindi Chana

Tundu Lissu awapongeza sana mbunge Ole Sendeka na Mbunge wa Ngorongoro, aiponda PhD ya Sheria ya Pindi Chana

Mkuu siyo lazima upost kila kitu ili uonekana unajua
Chanzo cha taarifa ni kipi?
Amesema akiwa wapi?
Japo Mimi nilimsikia kutoka CH lakini he wengine walisikia?

Ni vema ukawa kimya na kusoma mawazo ya wengine, unaweza ukajifunza zaidi.
Kati yako na yeye, ni bora yeye hata kama kuna upungufu katika uwasilishaji wake kuliko wewe ambaye hukuweka chochote cha maana hapa.
 
Wakiwa kitandani kwa madhambi waliyowafanyia wananchi wanaanza kulia na kutubu.

Mungu nakuomba uwachome motoni kabisa hao.
Vp wewe ulishatubu nini? Ulishaokoka tangu awamu yako istop ghafla? Au wewe ndiye utakuwa kuni?

Naona sasa unamsapoti hadi Tundu Lissu uliyekuwa ukisherehekea madhira yake! Ni jambo jema kama uliamua kujitenga na shetani ccm kwa sababu njema. Ila kama sababu ni kukatiwa kamba jiandae kuwa kuni hao watakapochomwa
 
Tundu Lissu amewakmba wenye mawasiliano na wabunge wa Ngorongoro na Ole Sendeka wawafikishie Salamu zake za Upendo na pongezi kwa namna walivyowatetea kisheria kabisa Wananchi wao.

Tundu Lissu amesema Wabunge hawa wawili Mungu wa mbinguni awabariki na kuwalinda kwa uzelendo uliotukuka.

Tundu Lisu ameiponda PhD ya sheria ya Waziri Chana na kusema haimsaidii chochote.
Akishasema Bingwa Mzalendo Tundu Lissu sisi wengine ni kupigia mstari tu.
 
Rais Samia Loliondo kunani??
Ule ni Mfupa mgumu. Fatilia issue ya Loliondo ni ngumu sana. Jaeibh kugoogle mitandaoni utaona ule ni Mfupa mgumu sana. Ulikoanzia sio leo. Wala si Samia mhusika hata Jpm ulimshinda. Mgogoro wa ngorongoro na Loliondo una siri nyingi tena kubwa sana.
 
Huyu si ndiye yule mwanasheria aliyetutishia kushitakiwa MIGA wakati anawatetea mabeberu wezi wa madini yetu?
#dishlimetilt
 
Wakiwa kitandani kwa madhambi waliyowafanyia wananchi wanaanza kulia na kutubu.

Mungu nakuomba uwachome motoni kabisa hao.

Usisahau dhambi zote hizi zinatendwa na Serekali ya CCM na wabunge wake ambao wengi hawakuchaguliwa na wananchi.
 
Tundu Lissu amewakmba wenye mawasiliano na wabunge wa Ngorongoro na Ole Sendeka wawafikishie Salamu zake za Upendo na pongezi kwa namna walivyowatetea kisheria kabisa Wananchi wao.

Tundu Lissu amesema Wabunge hawa wawili Mungu wa mbinguni awabariki na kuwalinda kwa uzelendo uliotukuka.

Tundu Lisu ameiponda PhD ya sheria ya Waziri Chana na kusema haimsaidii chochote.
Apeleke wazimu wake huko. Mwenyewe anajidai kwamba anajua kuliko yeyote.
 
Back
Top Bottom