Kati yako na yeye, ni bora yeye hata kama kuna upungufu katika uwasilishaji wake kuliko wewe ambaye hukuweka chochote cha maana hapa.Mkuu siyo lazima upost kila kitu ili uonekana unajua
Chanzo cha taarifa ni kipi?
Amesema akiwa wapi?
Japo Mimi nilimsikia kutoka CH lakini he wengine walisikia?
Ni vema ukawa kimya na kusoma mawazo ya wengine, unaweza ukajifunza zaidi.