DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Video: Mwendokasi TV
Ruzuku ishuke kwenye matawi hata sisi tunawatotoMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu akieleza namna ambavyo askari wanakatwa mishahara yao.
Video: Mwendokasi TV
Ni kweli tumemtuma. Waache kutukata hela wanazokula wao kimya kimya. Kuhusu mshahara si haba, walau serikali iliboresha kiasi ingawa bado sana kulingana na majukumu yetu.Hapo kwenye kikokotoo namuunga mkono.
ila atuambie ni Nchi gani duniani ambayo watumishi au raia wake wake hawakatwi kodi kwenye mishahara yao?
Kusema askari hawazikani si kweli labda angetoa mfano hata mmoja.
Je askari wamemtuma au wamemlalamikia kuwa hawatosheki na mishahara yao kulingana na elimu,majukumu na vyeo vyao?
Je,yeye akipata akichaguliwa anawaahidi kuwalipa shilingi ngapi ili waridhike?
Shida sasa hivi si lisu si samia wote wanamiliki machawa wa kumpambania.
wote kila anachosema wa upande wake wao ni mwendo wa ndio na vigelegele bila kufikiri wala kuhoji!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu akieleza namna ambavyo askari wanakatwa mishahara yao.
Video: Mwendokasi TV