Tundu Lissu awasili Manyara kushiriki Msiba wa Derrick Magoma

Anaongoza kwani yeye ni mchungaji?
Kwa Muji ya mtoa taarifa hii jana alisema ataongoza na nikamhoji hili swali Leo kabadili gia angani ndo maana nikamhoji tena je ni kushiriki au kuongoza kama aliyosema jana?
 
hivi yule nabii mnyanganyi wa arusha ambae anapenda watu wenye mawazo tofauti na yake kufa , haukuonyeshwa kifo cha huyu muungwana?

R.I.P kamanda Derick Magoma,

ila wanafiki kibao wamejazana mno msibani kwako gentleman
 
Kwa Muji ya mtoa taarifa hii jana alisema ataongoza na nikamhoji hili swali Leo kabadili gia angani ndo maana nikamhoji tena je ni kushiriki au kuongoza kama aliyosema jana?
Kuongoza hajakosea
 
Anaongoza kwani yeye ni mchungaji?
Kwani wamekuambia aliyekufa ni mkristo mpaka mchungaji awepo? Na hata kama ni mchungaji kwani kazi yake ni kuongoza au kuendesha ibada ya maziko?
 
Kwa Muji ya mtoa taarifa hii jana alisema ataongoza na nikamhoji hili swali Leo kabadili gia angani ndo maana nikamhoji tena je ni kushiriki au kuongoza kama aliyosema jana?
Huna akili
 
Waganga watakuwa wamemuosha dawa sana, mapipa kwa mapipa, maana mwanzoni walimzuia asihudhurie misiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…