Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wameweka mche wa muembe kuashiria niniMwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ni miongoni mwa waombolezaji walioingia Mkoani Manyara kuomboleza Msiba wa Mwenyekiti wa zamani wa Mkoa huo, Derrick Magoma.
Taarifa iliyosambazwa na chama chake Duniani kote hii hapa.
View attachment 3233235View attachment 3233236View attachment 3233331
Mungu Ibariki Chadema