Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura...
Asante Asante
 
Huu ndio ukweli.
 
Ulitegemea beberu akusifie?. Mapunguani ndio mnaoona hawa mabeberu miungu watu, endeleeni kuwaimbia nyimbo za ku waabudu. Tanzania chini ya Mzalendo namba moja itafana Sana.
Aibu kubwa sana!
 
Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura...
Punguza jazba mkuu! Yote maisha tu
 
Wewe ni ng'onda, kwa akili yako lisu alipata hizo 12% kihalali.
Maafisa wa kawaida walimuwakilisha nani, nani aliwatuma?
 
Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
Wanaita pori la wanyama baada ya kuadi wao kupigwa chini πŸ€” Ina maana huyo msaliti angeshinda angekuwa rais wa pori la wanyama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kamanda muwe mnafikiria basi angalau kidogo kabla ya kuandika πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Limekuuma, Dah! pole
 
Ukiwa mkimbizi haijalishi ww ulikuwa ni Professor au msukuma mkokoteni, wazungu wanakutreat the same way. Social status aliyokuwa nayo Bongo hatakuwa nayo Belgium, iko siku mtakutana naye kwenye kubeba box akishapewa makaratasi yake.

Nilishawahi kutana na Warandwa na Wasouth Sudan fulani wanajishaua kwamba wao walikuwa vigogo wa serikali lakini wanapiga box kwenda mbele
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣😁😁😁😁😁🀣🀣🀣🀣🀣 MUNGU ENDELEA KIUBARIKI CHADEMA 🀣🀣🀣 LISU THE GREATEST 😁😁😁
 
Lissu ni kiumbe kingine kabisa . Ni Nuru ya Tanzania, dhahabu ing'arayo, mwanga wa demokrasia, chimbuko la haki, chemichemi ya amani, faraja wa wadhulumiwao, na waridi wa maendeleo ya watu.
 
Kwisha habari yake... kifo cha mende ndembendembe
 
Naona beberu lake limewahi kmchukua, chadema mna laana.
 
You're right!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…