Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hadi CUF kawashinda kapata wabunge 3! Bado hawaelewi tuu.Kwa upeo wako mdogo huwezi kuelewa. Na hizi akili ndo zimefanya CHADEMA ife. Ikija kufika 2025 mtakuwa Kama SAU au CHAUMA.
Hadi CUF kawashinda kapata wabunge 3! Bado hawaelewi tuu.Kwa upeo wako mdogo huwezi kuelewa. Na hizi akili ndo zimefanya CHADEMA ife. Ikija kufika 2025 mtakuwa Kama SAU au CHAUMA.
Halafu manyumbu baada ya kichapo Cha shoga mwizi yapo hoi, mengine yameona maisha nje ya ubunge hayawezekani wamekuwa wakimbizi.Naona majizi ya kura wamechangamka siku hizi!
Mna wanachama wangapi huko mbinguni? Walipiga kura October 28? Lete orodha ya majina yao Mbowe anaweza kuteuwa viti maalum toka mbinguni.Chadema iko mpaka Mbinguni labda wewe ujumatano...
Dah... milele amina [emoji2960]Wazungu
wabarikiwe.
Good news. Huyu shujaa wetu sasa ni muda muafaka wa yeye kutulia na kula bata na familia yake kwa amani
Aachane na hii nchi ambayo watu wake hawajitambui
Ukiona mkeo anamsifia mume wa jirani yako nawe unashangilia ujue hiyo familia inahitaji maombi.Beberu hakupigi risasi 16 badala yake anatoa matibabu kwa majeruhi.
Wazungu
wabarikiwe.
Wewe acha uongo. Ndiyo maana unaweka uzi na ku comment mwenyewe. Mnaanza kumpa sifa za uongo eti mgombea aliyeng'ara. Kupata 12% ndiyo kung'ara? Eti alisindikizwa na UN. Uongo mtupu. Kwa taarifa yako hakuna UN wala balozi hata mmoja aliyemsindikiza. Unaowaita mabalozi ni maafisa wadogo sana.
Uongo hakusindikizwa na balozi tatu Ni ujerumani wakoloni waliotutawala ndio waliomsimdikiza mtu wao kwenda Kwao ulaya sio sifa ya kujisifuHakika jina la Mungu lihimidiwe. Kumuona mpinzani wako anasindikizwa na balozi tatu katika nchi yako hilo ni kofi tosha.
Panya ukimuona nyumbani mkimbize angalia shimo atakaloingia huko ndiko kwake alikotokea
Lisu alikuja ku bip watanzania watanzania tukamjibu. Kwenye sanduku la kura .Huyo kakimbilia shimo lake alikotokea
Kura mlizopata zilikua ni za wizi hili nalo ni la uwongo!Uongo hakusindikizwa na balozi tatu Ni ujerumani wakoloni waliotutawala ndio walimsimdikiza mtu kudindikizwa na mkoloni kwenda Kwao ulaya sio sifa ya kujisifu
Mjerumani alitutawala tukiwa koloni lake Lisu akakimbilia ubalozi wa mioloni mjerumani aliyetutawala Hilo sio Jambo dogo kwa Nini akimbilie kwa mkoloni aliyetutawala je anataumiwa kutaka kurudisha ukoloni Tena Tanzania ?
Ndio maana watanzania tumemkataa na. Kuonyesha wazi bila kificho kwenda kuishi nyumbani kwa mkoloni was kijerumani maana ndio kea
Hiyo kwa sisi watanzania Ni Jambo zito hatuchukulii kirahisi
Uongo hakusindikizwa na balozi tatu Ni ujerumani wakoloni waliotutawala ndio waliomsimdikiza mtu wao kwenda Kwao ulaya sio sifa ya kujisifu
Mjerumani alitutawala tukiwa koloni lake Lisu akakimbilia ubalozi wa mioloni mjerumani aliyetutawala Hilo sio Jambo dogo kwa Nini akimbilie kwa mkoloni aliyetutawala je anataumiwa kutaka kurudisha ukoloni Tena Tanzania ?
Ndio maana watanzania tumemkataa na. Kuonyesha wazi bila kificho kwenda kuishi nyumbani kwa mkoloni was kijerumani maana ndio kea
Hiyo kwa sisi watanzania Ni Jambo zito hatuchukulii kirahisi
Kusindikizwa na mkoloni wakijerumani aliyetutawala Ni sifa?Aibu kubwa sana !
Kusindikizwa na mkoloni wakijerumani aliyetutawala Ni sifa?
Kakaa wiki anakula na kulala kwenye ubalozi wa mkoloni mjerumani hakujidficha alijianika wazi kuwa hap wakoloni ndio watu wake heri angetorokea hata ubalozi wa urusi kuficha lakini kajianika wasi kuwa ninkibaraka wa wakoloni
Mku kusindikizwa na Mabalozi watatu tena kwa kustukiza ndio maana ss wanaccm tulijua baada kuona picha alizopiga Airport au ww ulikuwa anajua siku aliyokuwa ana safiri. Kwani kama mm na ww tulikuwa hatui hata wafuasi wake walikuwa hajui kusafiri kwake au hana wafuasi kama anao basi tujue kuwa mpinzani wetu ameenda ktk matibabu na kundeleza harakati zake kama alivyokuwa nje mpaka anarudi Nchi na kupokelewa na hao wafuasi uliosema walimpokeaKwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Alijidau ohhh mimi siogopi kifo mbona katimua mbio bila hata kutishiwa na makofi eti nimetumiwa meseji za simu !!! Mbio UbelgijiKwisha habari yake... kifo cha mende ndembendembe
CCM ni mkoloni aliyetuganda kama luba afadhali Wajerumani Waliyoyafanya mpaka leo yanaonekanaKusindikizwa na mkoloni wakijerumani aliyetutawala Ni sifa?
Kakaa wiki anakula na kulala kwenye ubalozi wa mkoloni mjerumani hakujidficha alijianika wazi kuwa hap wakoloni ndio watu wake heri angetorokea hata ubalozi wa urusi kuficha lakini kajianika wasi kuwa ninkibaraka wa wakoloni
bahati nzuri Lissu si mkimbizi. Hata hivyo wazungu wanaheshimu sana taaluma. Ukiwa na taaluma watakupa nafasi mradi tu ufaulu mitihani yao usajiliwe na bodi zao za taaluma.Ukiwa mkimbizi haijalishi ww ulikuwa ni Professor au msukuma mkokoteni, wazungu wanakutreat the same way. Social status aliyokuwa nayo Bongo hatakuwa nayo Belgium, iko siku mtakutana naye kwenye kubeba box akishapewa makaratasi yake.
Nilishawahi kutana na Warandwa na Wasouth Sudan fulani wanajishaua kwamba wao walikuwa vigogo wa serikali lakini wanapiga box kwenda mbele