Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Wewe acha uongo. Ndiyo maana unaweka uzi na ku comment mwenyewe. Mnaanza kumpa sifa za uongo eti mgombea aliyeng'ara. Kupata 12% ndiyo kung'ara? Eti alisindikizwa na UN. Uongo mtupu. Kwa taarifa yako hakuna UN wala balozi hata mmoja aliyemsindikiza. Unaowaita mabalozi ni maafisa wadogo sana.
Usiwe mbishi, jamaa ameng'ara na juwa maarufu. Chadema toka kuwa na viti 70 kaikweza hadi kiti kimoja unadhani kazi ndogo😂😂
 
Wewe acha uongo. Ndiyo maana unaweka uzi na ku comment mwenyewe. Mnaanza kumpa sifa za uongo eti mgombea aliyeng'ara. Kupata 12% ndiyo kung'ara? Eti alisindikizwa na UN. Uongo mtupu. Kwa taarifa yako hakuna UN wala balozi hata mmoja aliyemsindikiza. Unaowaita mabalozi ni maafisa wadogo sana.
Hao Maafisa wadogo wa hizo balozi wangeweza kimsindikiza Lissu bila idhini ya Mabalozi wenyewe?

Kama Mabalozi waliruhusu Maofisa wadogo wafanye jambo hilo basi ni wazi kwamba MABALOZI HAO (WA MAREKANI,UJERUMANI NA UBELGIJI) WALIMSINDIKIZA T.LISSU PALE JKN IA.
 
Mh Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu , balozi wa Marekani , ujerumani na Ubelgiji .

View attachment 1624491View attachment 1624492

Picha hizo ni za Zaventen Airport , Brussels Belgium alipowasili .
Vitisho vikubwa vya kumuua vya "nyaunoko" watu wanakimbia madeni, mnatunga uongo wa vitisho, nani amuue mtu asiye na faida yoyote kwa watanzania? uchaguzi kashindwa vibaya, chadema kaisha iua, hana impact yoyote, Kaikuta na wabunge 70 aliocha mzee Lowasa kaiacha na mbunge 1, ndio atishiwe maisha? wacha akale bata, nyie kalagabaho na uboze wenu
 
Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura. Kuhakikisha hilo alivyoshindwa uraisi akataka waingie barabarani maandamano bila kikomo wananchi wakakausha, alivyo na mkosi hata Robert Amsterdam baada ya uchaguzi kamtelekeza kaacha kutoa zile barua za mikwara. Aliyekuja kuimaliza kabisa CHADEMA ni Lissu na tukiwaambia humu, mkakazania "NI YEYE", Vipi zile nyaraka alizokuwa anaandaa Amsterdam za kupeleka ICC ziko wapi?,.. Siku zote nasema humu Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO kichwani mwake. Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Kutoka kuwa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani hadi kuwa mkimbizi. Wabongo mnaona ukimbizi dili kutokana na maisha ya bongo, ila ulaya wakimbizi hasa wanaolishwa na serikali zao wanaonekana mafala tu, status ya Lissu huko hana tofauti na wakimbizi wa Somalia.. Kule anaonekana fala tu, story za Ni Yeye hawana habari nazo, Belgium wamejaa mafala kibao kama yeye kutoka Congo,Rwanda, Burundi nk wakisubiri ela ya kujikimu kila mwezi na ndo janja yao imefika mwisho. Huko game tough asikwambie mtu.
Pole,inaonekana unateseka sana juu ya Lissu!
Tunamtakia Lissu maisha marefu ili aje ashuhudie mwisho wa mtesi wake jiwe!
 
Hakuna mtu aliyemtishia Lissu maisha yake.

Baada ya kushindwa uchaguzi ilikuwa lazima atengeneze drama ili kuwalaghai wafuasi wake kuwa analazimika kuondoka nchini.

Yeye sio mpinzani wa kwanza kugombea Urais na ni mpinzani runner up aliyepata mafanikio madogo kuliko wapinzani wote tangu nchi yetu ianze kuwa na chaguzi za vyama vingi.
Amekimbia kesi na madeni, mwanzoni alivyokuja, alianza uchokozi ili azuiwe airport, akaachwa, akataka akamatwe, akaachwa, akatukana sana kwenye mikutano, akaachwa, akawaudhi watanzania, akaachwa, akaingia kwenye uchaguzi, akaachwa, amejaribu maandamano akaachwa na watanzania, amekimbia akaachwa
 
Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura. Kuhakikisha hilo alivyoshindwa uraisi akataka waingie barabarani maandamano bila kikomo wananchi wakakausha, alivyo na mkosi hata Robert Amsterdam baada ya uchaguzi kamtelekeza kaacha kutoa zile barua za mikwara. Aliyekuja kuimaliza kabisa CHADEMA ni Lissu na tukiwaambia humu, mkakazania "NI YEYE", Vipi zile nyaraka alizokuwa anaandaa Amsterdam za kupeleka ICC ziko wapi?,.. Siku zote nasema humu Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO kichwani mwake. Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Kutoka kuwa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani hadi kuwa mkimbizi. Wabongo mnaona ukimbizi dili kutokana na maisha ya bongo, ila ulaya wakimbizi hasa wanaolishwa na serikali zao wanaonekana mafala tu, status ya Lissu huko hana tofauti na wakimbizi wa Somalia.. Kule anaonekana fala tu, story za Ni Yeye hawana habari nazo, Belgium wamejaa mafala kibao kama yeye kutoka Congo,Rwanda, Burundi nk wakisubiri ela ya kujikimu kila mwezi na ndo janja yao imefika mwisho. Huko game tough asikwambie mtu.
Nyambafu.....Hata kama Mbingu zingeletwa na Utawala wowote kwenye Nchi yoyote la muhumu ni Utawala wa Sheria na Haki. Otherwise hizo flyover ... sijui takataka gani ni Nothing...
 
Mh Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu , balozi wa Marekani , ujerumani na Ubelgiji .

View attachment 1624491View attachment 1624492

Picha hizo ni za Zaventen Airport , Brussels Belgium alipowasili .
hahahaaaaaaaaaaa erythrocyte sijakuona sikunyingi habari za leo mheshimiwa tundu vipi kaingia ikulu?maana ulivyokuwaga unampamba ,ni yeye kamanda tuvushe na meeeengii leo huyo hapo kisha mmeshindwa kumpigia kura kumbe mlikuwaga mnaenda kumshangaaa viwanjani wakati wa kampeni tu
 
Amekimbia kesi na madeni, mwanzoni alivyokuja, alianza uchokozi ili azuiwe airport, akaachwa, akataka akamatwe, akaachwa, akatukana sana kwenye mikutano, akaachwa, akawaudhi watanzania, akaachwa, akaingia kwenye uchaguzi, akaachwa, amejaribu maandamano akaachwa na watanzania, amekimbia akaachwa
Duu mkuu umetisha, AKAACHWAAA, kila mtu alishampuuza waikuwa wanamchora tu amemalizaanaanza kuogopa kivuli chake mara nayishwa.
 
Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Anakuaga ahana mkono mzuri hata wakat wa kesi akaishika tu ujue unashindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona unalia ?
Ha ha haaa! Pole kamanda uchwara! Kamanda uchwara mkuu kakuacha solemba!!! Ndiyo muwe mnaelewa mkielezwa! Neno uchwara limetumika kwa utani kwani makamanda walioazimia kulala barabarani wakishindwa hawakuonekana hata kwenye mtaro wa barabara!!! Ha ha haaa!

Sasa serious issue! Mkuu unahakika Lissu amekimbia kweli kuhusu usalama wake na tambo zote alizokuja nazo wakati anarudi kwa ajili ya kukiua chama cha CHADEMA ama amekimbia kesi zake zilizoko mahakamani !?
 
Haya Lisu kaondoka kijanja bila kuaga hata chama chake. Swali pesa ambazo Mbowe na Chadema walikopa kwa Lisu kusema Amsterdam ataleta pesa inakuwaje?

Lisu kakimbia kulipa madeni ya ndani yakiwemo ya wakenya waliokopesha

Mjanja kaingia mitini mtajijua hiyo mideni mtalipaje .Mbowe kazi kwako

Tulikwambia pesa nyingi peleka majimboni kwa wabunge usirundike zote kwa mgombea uraisi hukusikia Sasa utajijua hayo madeni utayalipaje mwenzio ndio katoroka hivyo kakubwagia zigo la madeni
 
Good news. Huyu shujaa wetu sasa ni muda muafaka wa yeye kutulia na kula bata na familia yake kwa amani

Aachane na hii nchi ambayo watu wake hawajitambui
Mtawalaumu watz bure... wangefanyaje wakati tume ndo inaamua inavyotaka
 
IMG_5986.png
 
Alijidau ohhh mimi siogopi kifo mbona katimua mbio bila hata kutishiwa na makofi eti nimetumiwa meseji za simu !!! Mbio Ubelgiji
Tanzania hakuna wapinzani wa ukweli hawa ni wapigania matumbo yao waweze kwenda chooni.
 
Lissu ni kiumbe kingine kabisa . Ni Nuru ya Tanzania, dhahabu ing'arayo, mwanga wa demokrasia, chimbuko la haki, chemichemi ya amani, faraja wa wadhulumiwao, na waridi wa maendeleo ya watu.
Hakika
 
Back
Top Bottom