Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Mbona unaongea kwa kutumia nguvu nyingi hadi unajamba? 💨 😷

Kwahiyo Godbless Lema naye amevuka kwa ruhusa ya serikali ya Tz? na bado Lazaro Nyarandu naye mlimruhusu avuke border ila akaghairi yeye mwenyewe? Jinga kweli wewe.
😆😆😆😆
 
Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji

View attachment 1624491View attachment 1624492

Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Kubwa jinga.
 
Marinda anayo?
 
M/ Mungu ni mwema wakati wote.
Lissu kiongozi wangu tusemee huko, ulivyo tuacha umeona. Hali ni mbaya sana huku, tuliomkataa Shetan na kazi zake, tunawindwa.
 
Wewe acha uongo. Ndiyo maana unaweka uzi na ku comment mwenyewe. Mnaanza kumpa sifa za uongo eti mgombea aliyeng'ara. Kupata 12% ndiyo kung'ara? Eti alisindikizwa na UN.

Uongo mtupu. Kwa taarifa yako hakuna UN wala balozi hata mmoja aliyemsindikiza. Unaowaita mabalozi ni maafisa wadogo sana.
Wivu wa kike tu
 
Good news. Huyu shujaa wetu sasa ni muda muafaka wa yeye kutulia na kula bata na familia yake kwa amani

Aachane na hii nchi ambayo watu wake hawajitambui
True haina haja ya kuumia na kutesekea watu wajinga wasiojielewa,huyo ni wakili anaweza tulia akaendelea na mishe zake ili kila mtu apambane na hali yake
Kuna mtu alisema usimsaidie maskini muache afe nadhani hii inatufaa
 
Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura.

Kuhakikisha hilo alivyoshindwa uraisi akataka waingie barabarani maandamano bila kikomo wananchi wakakausha, alivyo na mkosi hata Robert Amsterdam baada ya uchaguzi kamtelekeza kaacha kutoa zile barua za mikwara.

Aliyekuja kuimaliza kabisa CHADEMA ni Lissu na tukiwaambia humu, mkakazania "NI YEYE", Vipi zile nyaraka alizokuwa anaandaa Amsterdam za kupeleka ICC ziko wapi?,.. Siku zote nasema humu Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO kichwani mwake. Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.

Kutoka kuwa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani hadi kuwa mkimbizi. Wabongo mnaona ukimbizi dili kutokana na maisha ya bongo, ila ulaya wakimbizi hasa wanaolishwa na serikali zao wanaonekana mafala tu, status ya Lissu huko hana tofauti na wakimbizi wa Somalia.

Kule anaonekana fala tu, story za Ni Yeye hawana habari nazo, Belgium wamejaa mafala kibao kama yeye kutoka Congo,Rwanda, Burundi nk wakisubiri ela ya kujikimu kila mwezi na ndo janja yao imefika mwisho. Huko game tough asikwambie mtu.
We jinga kweli kwani JK hakujenga barabara, vituo vya afya? Si ni wajibu wa serikali?
 
Hakuna mtu aliyemtishia Lissu maisha yake.

Baada ya kushindwa uchaguzi ilikuwa lazima atengeneze drama ili kuwalaghai wafuasi wake kuwa analazimika kuondoka nchini.

Yeye sio mpinzani wa kwanza kugombea Urais na ni mpinzani runner up aliyepata mafanikio madogo kuliko wapinzani wote tangu nchi yetu ianze kuwa na chaguzi za vyama vingi.
Bwege tu wewe
 
Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Huna lolote
 
Mwenyezi Mungu amlinde na kila lililo baya! Watanzania wapenda haki na mabadiliko tutazidi kumuombea kila siku iendayo kwa Mungu!
 
Halafu manyumbu baada ya kichapo Cha shoga mwizi yapo hoi, mengine yameona maisha nje ya ubunge hayawezekani wamekuwa wakimbizi.

"Uoga ni dhambi mbaya kuliko zote"....lema.
Ulitaka wabakie muwamalize? ivi nani asiejuwa ujambazi wenu? mngejificha angalau watoto wakasahau uharamia wenu! nyie si wa kunyanyua midomo wakati huu huku mkijuwa kwamba uchaguzi huu tumewaanika mbele ya uso wa dunia!
 
Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura.

Kuhakikisha hilo alivyoshindwa uraisi akataka waingie barabarani maandamano bila kikomo wananchi wakakausha, alivyo na mkosi hata Robert Amsterdam baada ya uchaguzi kamtelekeza kaacha kutoa zile barua za mikwara.

Aliyekuja kuimaliza kabisa CHADEMA ni Lissu na tukiwaambia humu, mkakazania "NI YEYE", Vipi zile nyaraka alizokuwa anaandaa Amsterdam za kupeleka ICC ziko wapi?,.. Siku zote nasema humu Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO kichwani mwake. Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.

Kutoka kuwa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani hadi kuwa mkimbizi. Wabongo mnaona ukimbizi dili kutokana na maisha ya bongo, ila ulaya wakimbizi hasa wanaolishwa na serikali zao wanaonekana mafala tu, status ya Lissu huko hana tofauti na wakimbizi wa Somalia.

Kule anaonekana fala tu, story za Ni Yeye hawana habari nazo, Belgium wamejaa mafala kibao kama yeye kutoka Congo,Rwanda, Burundi nk wakisubiri ela ya kujikimu kila mwezi na ndo janja yao imefika mwisho. Huko game tough asikwambie mtu.
naona chupi imekubana na imeoa
 
Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji

View attachment 1624491View attachment 1624492

Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Siku alirudi CCM kama Lowassa ndio atayaoga matusi ya Makamanda
 
Back
Top Bottom