Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji

View attachment 1624491View attachment 1624492

Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Mambo yenu ya kijinga ambiabeni wenyewe huko ufipa
 
Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.

Ina maaana hajasindikizwa na wanachadema? Au makamanda?
 
CCM kilishakufa kitambo hawawezi kushiriki kwenye uchaguzi wowote bila kushikiliwa mkono na tume kushoto huku polisi wakiwa kulia. Lkn kichaa haoni ukichaa chake.
 
Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Naona mnajipongeza mkiwa hamna ubongo!
 
Hakuna mtu aliyemtishia Lissu maisha yake.

Baada ya kushindwa uchaguzi ilikuwa lazima atengeneze drama ili kuwalaghai wafuasi wake kuwa analazimika kuondoka nchini.

Yeye sio mpinzani wa kwanza kugombea Urais na ni mpinzani runner up aliyepata mafanikio madogo kuliko wapinzani wote tangu nchi yetu ianze kuwa na chaguzi za vyama vingi.
Hata kabla ya kupigwa risasi mlikuwa mnasema hivi. Baadae yakatokea kweli
 
Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Tulia kwanza ili uandike vitu vinavyo eleweka.
 
Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
Wazungu wabarikiwe.
Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
Unapokula kumbuka kufuta mdomo account hii iungnishwe ni mtu mmoja.
 
Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua, aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji.

View attachment 1624491View attachment 1624492

Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Nikisoma thrd na msg zako juu ya Lissu kuna wakati naona huruma. Chochote anachokifanya Lissu kwako huwa ni ushujaa. Wanaofanya haya ya kwako ni wale walioajiliwa na hulipwa kwa kutoa sifa kama tuonavyo kwa wanaombebea rais mikoba.

Kwa mtu binafsi kama huyu, mwenye mke tunayemfahamu anawezaje kupewa sifa kila jambo na mtu ambaye si mke wala mtoto wake kiasi hiki? Nitaamini utakaponiaminisha kwamba una nafasi mojawapo ya hizo.
 
Back
Top Bottom