Kwani kulikuwa na figisu gani? CDM walishindwa kufuata maelekezo ya kuhakikiwa kwa wadhamin huko majimboni ndo maana kachelewa kupitishwa na Tume kwani ilibidi uhakiki wa Wadhamini ufanyike jana ofisi za Tume ya Uchaguzi. So hakuna figisu yoyote ila ujuaji au kutokujua taratibu inawaponzaInaelekea figisu bado,kwahiyo lolote linaweza kuendelea hiyo kesho.
This really is not a presidential material. Those statements are not only necessary but unhelpful since they depict an image of a shaky candidate who is looking for an event to make a breakthrough (yaani pa kutokea). Tundu did not have to open his mouth and spit stuff like that!! Was it really needed??
Uniquote = Uni-quote!Sikujua kama unanifuatilia hivi....karibu mkuu. Baadae sasa hifadhi ya kesho tena ukiona nimecomment uje uniqoute.
Hili la kuhakiki Majimboni intelijensia za Chadema zilibaini kuwepo kwa Mawakili bandia ambao wangeweza kutia Dosari katika hizo fomu hivyo kukosa sifa za kuteuliwa.Hivyo michezo yote ilikua inajulikana.Unafikiri hata yakiwa ya haki atakuambia ni ya haki? Hawa jamaa wapo vizuri kwahadaa mashabiki wao, kila siku wao wapo sahihi kila wafanyalo serikali ndiyo huwaonea.
Mfano leo kuna sehemu walisema walikuwa hawajahakiki majimboni ndiyo maana wakasubirishwa? Hapana hakusema, ila alikuwa analijua hili.
Ila akakuambia anasubirishwa kwasababu wanataka kumkata! Hapo unatengenezwa ili utete usichokijua.
Hawa wanasiasa waache tu, wote sio CCM sio Chadema!
Hakuna cha kuwa mwana CCM, hata kesho tukimkabidhi Lissu nchi CHADEMA watakuwa na favour fulani tofauti na vyama vingine. This is natural..only what you can do is to reduce.
I like this🤣🤣🙌Ndio. Na siyo muda huu tuu toka mwishoni 2015 HATUNA RAIS
kATIKA WATU WALOPOKAJI HUYU JAMAA NI NAMBA 1, SIO BURE KATUMWA NA WAZUNGU AJE ALETE FUJO NCHI IINGIE KWENYE VURUGU WAJICHOTEE MALIASILI MDA HUO YE YUPO UBELGIJI HAPOKEI SIMU ZA WANACHADEMA WALALA HOI.
Maza utafikiria yuko toilet.Ila huyo mama amekaa kichawi chawi[emoji15]
Lakini kunazuia utekajiLissu anaweza kuwehuka,kuhamasisha watu wajae hakuzuii pingamizi