Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

Mkuu Trump anauchaguzi tarehe 3 November 2020 hivi nae anatumia government machinery kujinufaisha yeye binafsi na chama chake? Mkuu usidhani sisi wote ni utopolo Kama ninyi na Magu wenu,please

Kama hujui tulia ukalale, kwenye uchaguzi wa bushi kuna ma niger huko walitishwa walikuwa washabiki wa Republican kuwa watashughulikiwa ingawa vitisho havikuwa vikubwa, wewe unadhani huko ni mbinguni?
 
Jiwe apingwe kila hatua hadi kwenye sanduku la kura
 


===========​


Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa.

Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua kuandika mapingamizi na sisi tunajua hivyo usiku huu nitaangalia kitu gani tunacho ambacho tunaweza tukafanya ambacho sheria za uchaguzi zinaturuhusu, na sisi tunaweza tukaweka mapingamizi.

Kama kuna mtu anafikiria sisi tutakuwa wajibu mashtaka tu, wafikirie mara mbili. Mwisho nawaombeni, kesho ni siku muhimu kuliko leo. Kwa sisi tusiokuwa na serikali, mapolisi, tusiokuwa na watu wa kutulinda, tunahitaji nguvu ya umma, tunahitaji wingi wenu.

Nawaombeni sana mhamasishane mji huu na miji ya jirani na yeyote anayeweza kuwa Dodoma awe Dodoma ili kesho tuwe wengi zaidi tuone mpaka kufikia saa kumi jioni itakuwaje.

Lisu ni mjimga tu
Kwani ukiweka pingamizi ni lazima likubaliwe?
Wakili msomi mjingamjinga tu
 
Kwa sasa tuna care taker president na sio Raisi. Sijui hata hizo amri za kugawa magari anazifanye na kwa kutumia kifungu gani cha sheria wakati yeye ni mgombea kama wengine.
Care taker President 😳 wewe utakuwa mpenzi shabiki mzuri wa EPL.
 
Mapingamizi yawe ya haki tu tofauti na hapo hatukubali lissu utayashinda hayo yote
 
Muwe wengi ili iweje, endelea kuvunja sheria za uchaguzi.Bahati nxuri maboss wako wa chama walisaini kukubali kanuni VAR at work. Soon kuna red card.
Kuishi kwa matumaini nayo ni 'furaha'.
 
Mkuu Trump anauchaguzi tarehe 3 November 2020 hivi nae anatumia government machinery kujinufaisha yeye binafsi na chama chake? Mkuu usidhani sisi wote ni utopolo Kama ninyi na Magu wenu,please
Umesahau empeachment mkuu?
 
Ni viziri ila akiwekewa yeye asianze kulialia kama mtoto wa mama wa kambo.
Tangu uwe kada hata uandishi wako umekuwa na shida sana, ule usemi kwamba ukijiunga na ccm, ubongo wako unachomolewa naona unaanza ku make sense.
 
Mbona ameanza kuwa muoga muoga vipi tena si Amsterdam atashitaki akiwekewa pingamizi, analilia nguvu ya umma ya nini tena na mwanasheria wake yupo.

This guy is so dilusional
Is he delusional like your useless president Magufuli?
 
Mpinzani atawezaje kuwa na dola, huyo si mpinzani tena, we jamaa argument zako nyepesi mno, unaendeshwa na mahaba kama mke mdogo asiye na uhakika wa maisha yake.

Uwezo wake ni mdogo sana wa kuchambua mambo ya msingi. Achana naye huyo.
 
Kuandika kwenyewe huwezi na Kiswahili hujui mkosa akili wewe.
Sikujua kama unanifuatilia hivi....karibu mkuu. Baadae sasa hifadhi ya kesho tena ukiona nimecomment uje uniqoute.
 
Tangu uwe kada hata uandishi wako umekuwa na shida sana, ule usemi kwamba ukijiunga na ccm, ubongo wako unachomolewa naona unaanza ku make sense.
Tena kipinde kile nilikuwa nakosea kuandika zaidi ya sasa.....

Sema tu nilikuwa naandika unachotaka.
 
Na damu yetu na ya vizazi vya waTanzania ipo juu ya hawa watatu :

Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Umesahau mgombea pia anaweza kuwekea mgombea mwenzake pingamizi.
 
Back
Top Bottom