Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

===========​

Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa.

Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua kuandika mapingamizi na sisi tunajua hivyo usiku huu nitaangalia kitu gani tunacho ambacho tunaweza tukafanya ambacho sheria za uchaguzi zinaturuhusu, na sisi tunaweza tukaweka mapingamizi.

Kama kuna mtu anafikiria sisi tutakuwa wajibu mashtaka tu, wafikirie mara mbili. Mwisho nawaombeni, kesho ni siku muhimu kuliko leo. Kwa sisi tusiokuwa na serikali, mapolisi, tusiokuwa na watu wa kutulinda, tunahitaji nguvu ya umma, tunahitaji wingi wenu.

Nawaombeni sana mhamasishane mji huu na miji ya jirani na yeyote anayeweza kuwa Dodoma awe Dodoma ili kesho tuwe wengi zaidi tuone mpaka kufikia saa kumi jioni itakuwaje.
Kwani Ana makosa gani Hadi hajiamini? Mbona mzee wa ubwabwa katulia tuli?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
===========​

Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa.

Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua kuandika mapingamizi na sisi tunajua hivyo usiku huu nitaangalia kitu gani tunacho ambacho tunaweza tukafanya ambacho sheria za uchaguzi zinaturuhusu, na sisi tunaweza tukaweka mapingamizi.

Kama kuna mtu anafikiria sisi tutakuwa wajibu mashtaka tu, wafikirie mara mbili. Mwisho nawaombeni, kesho ni siku muhimu kuliko leo. Kwa sisi tusiokuwa na serikali, mapolisi, tusiokuwa na watu wa kutulinda, tunahitaji nguvu ya umma, tunahitaji wingi wenu.

Nawaombeni sana mhamasishane mji huu na miji ya jirani na yeyote anayeweza kuwa Dodoma awe Dodoma ili kesho tuwe wengi zaidi tuone mpaka kufikia saa kumi jioni itakuwaje.

Muwe wengi ili iweje, endelea kuvunja sheria za uchaguzi.Bahati nxuri maboss wako wa chama walisaini kukubali kanuni VAR at work. Soon kuna red card.
 
Lissu hakatai mapingamizi, ndio maana alirudi nchini licha yakua anajua mangapi yanayomsubiri.

Anachohitaji nihayo mapingamizi yafuate Sheria pasipo kumuonea wala kumpendelea.

Unazungumziaje, wabunge wenu kupitishwa bila kupingwa et zaidi wagombea wa vyama 15 wote hao wamekosea kujaza fomu, kwamba CCM ndio wamepatia ???huuu uhuni unauzungumziaje???.

Ndo utajua, Nchi hii ukishakua mwanaCCM ni lazima ufikirie kwa kutumia MAKALIO.
Tulieni dozi iwaingia mlitangazia ulimwengu kupitia twetter republic kwamba mnashinda.Hsta jogoo hajawika mnayakana maneno yenu
 
Lissu hakatai mapingamizi, ndio maana alirudi nchini licha yakua anajua mangapi yanayomsubiri.

Anachohitaji nihayo mapingamizi yafuate Sheria pasipo kumuonea wala kumpendelea.

Unazungumziaje, wabunge wenu kupitishwa bila kupingwa et zaidi wagombea wa vyama 15 wote hao wamekosea kujaza fomu, kwamba CCM ndio wamepatia? Huu uhuni unauzungumziaje?

Ndo utajua, Nchi hii ukishakua mwanaCCM ni lazima ufikirie kwa kutumia MAKALIO.
Kote ambapo ccm imefanya uhuni wa kupita bila kupingwa wananchi wapige kelele Duniani kote wajue uchaguzi siyo huru na haki
 
Wanawayumbisha wanachama.Ilani ya uchaguzi hawana ni kumtegemea boss wao Amsterdam
Wajinga sana hawa jamaa...sasa kama walikuwa wanauwezo wa kuwawekea pingamizi wagombea wa CCM kwann hawakufanya hivyo at the first place hadi wamepigwa ngumi ya jicho ndo wanastuka?

Wanapaswa kuunda Taasisi badala ya kuwa na chama kinachosubiri uchaguzi tu
 
Ni viziri ila akiwekewa yeye asianze kulialia kama mtoto wa mama wa kambo.
Bwashehe kuna kiongozi au raia anaelia lia kama namba 1! Hahahaaa. Nimechomekea tu
 
Lissu anaweza kuwehuka,kuhamasisha watu wajae hakuzuii pingamizi
Kesho count down inaanza siku 60 siyo nyingi, Lissu anatakiwa kuzunguka nchi nzima akiomba kura nchi ina square km 945 000
 
Hata ingelikuwa mpinzani ndiye mwenye dola still tangelikuwa haya haya tu.

Uniteue kuwa judge kisha nije nikujudge vibaya... probability ni 0.0008
Mpinzani atawezaje kuwa na dola, huyo si mpinzani tena, we jamaa argument zako nyepesi mno, unaendeshwa na mahaba kama mke mdogo asiye na uhakika wa maisha yake.
 
This really is not a presidential material. Those statements are not only necessary but unhelpful since they depict an image of a shaky candidate who is looking for an event to make a breakthrough (yaani pa kutokea). Tundu did not have to open his mouth and spit stuff like that!! Was it really needed??
 
Muwe wengi ili iweje, endelea kuvunja sheria za uchaguzi.Bahati nxuri maboss wako wa chama walisaini kukubali kanuni VAR at work.Soon kuna red card
Una vinasaba vya delicious au huyu aliyerudisha namba jana sijui moyo mashine!?

Unaandika kabisa "nxuri",pole sana kwa familia na taifa kwa ujumla kwa kupata mtoto si ridhiki na raia si ridhiki.
 
Kwahiyo kwa unavyoelewa muda huu nchi haina Rais?
Kwa sasa tuna care taker president na sio Raisi. Sijui hata hizo amri za kugawa magari anazifanye na kwa kutumia kifungu gani cha sheria wakati yeye ni mgombea kama wengine.
 
Back
Top Bottom