Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanakaguliwa na CAGChadema mnasomewa Ripoti ya matumizi ya Ruzuku? 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakaguliwa na CAGChadema mnasomewa Ripoti ya matumizi ya Ruzuku? 🐼
Hata vijiji vinakaguliwa na CAGWanakaguliwa na CAG
Acha uongo labda kuwe na mradi, ofisi ya CAG haina staff wengi kiasi hichoHata vijiji vinakaguliwa na CAG
CAG anakagua kwa mtindo wa sampling 😄😄Acha uongo labda kuwe na mradi, ofisi ya CAG haina staff wengi kiasi hicho
Lakini huwezi kusikia amekagua vote ya IkuluCAG anakagua kwa mtindo wa sampling 😄😄
Yeye wakati ni mbunge aliwapa hesabu za matumizi ya mfuko wa jimbo!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi.
Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye Mkutano huo kutabasamu kwa furaha ya Matumaini, amezungumzia pia tozo za vijiji kwenye mazao na minada ya mifugo zilivyo kero kwa wanavijiji
Lissu katika kuhoji kuhusu Utawala bora amewauliza wanakijiji hao kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Jibu nene lililokuja ni Hapana.
Swali lako ni la kijingaYeye wakati ni mbunge aliwapa hesabu za matumizi ya mfuko wa jimbo!
Hata yeye lake ni la kijinga tatizo hukuona ujinga sababu ya mahaba niue!Swali lako ni la kijinga
Ujinga HAUNA mganga doktaChadema mnasomewa Ripoti ya matumizi ya Ruzuku? 🐼
😆😆😆Ujinga HAUNA mganga dokta