Pre GE2025 Tundu Lissu awauliza Wanakijiji kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Wamjibu Hapana

Pre GE2025 Tundu Lissu awauliza Wanakijiji kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Wamjibu Hapana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi.

Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye Mkutano huo kutabasamu kwa furaha ya Matumaini, amezungumzia pia tozo za vijiji kwenye mazao na minada ya mifugo zilivyo kero kwa wanavijiji

Lissu katika kuhoji kuhusu Utawala bora amewauliza wanakijiji hao kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Jibu nene lililokuja ni Hapana.

Yeye wakati ni mbunge aliwapa hesabu za matumizi ya mfuko wa jimbo!
 
Back
Top Bottom