Tundu Lissu aweka wazi Sera zake kupitia ilani ya CHADEMA 2025

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania.

ILANI: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

1. Kuwalipa fidia wote waliobomolewa nyumba zao kupisha miundombinu mbalimbali nchini huku hawakulipwa au kulipwa kiduchu.

2. Kuimarisha sekta binafsi ili kukuza ajira.

3 Kuwalipa wenye vyeti feki stahili zao. Alimtolea mfano mwalimu aliyeshindwa kuwasilisha cheti cha ualimu huku akihitimu chuo mwaka 1970. Alifukuzwa kazi akiwa na umri wa miaka 59 na hakupewa hata senti moja.

4. Kuboresha maslahi kwa watumishi wote wa umma.

5. Kuboresha elimu na kuifanya iwe ya ubunifu nakujiajiri.

6. Kuboresha huduma za afya hususani hospitalini.

7.Kuboresha huduma za utoaji haki mahakamani, polisi, magereza nk.

8. Kupanuliwa Uhuru wa habari ili vyombo vya habari vitoe viripoti haki kwa watu na uhuru wao ambao ni jambo msingi.

9. Kuboresha kilimo nchini kwa kuwa na uhakika wa bei ya mazo na kuimarisha kilimo na ufugaji wenye tija.

10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya Elimu ya juu.

11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.

Je yawezekana?
 
Ahadi nzuri.
Ila Ni vizuri pia akaweka wazi mkakati wa vyanzo vya pesa.
 
10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu.

11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.

Je yawezekana?
Watz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi itakuwa afadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,
 
Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania.

ILANI: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

1. Kuwalipa fidia wote waliobomolewa nyumba zao kupisha miundombinu mbalimbali nchini huku hawakulipwa au kulipwa kiduchu.

2. Kuimarisha sekta binafsi ili kukuza ajira.

3 Kuwalipa wenye vyeti feki stahili zao. Alimtolea mfano mwalimu aliyeshindwa kuwasilisha cheti cha ualimu huku akihitimu chuo mwaka 1970. Alifukuzwa kazi akiwa na umri wa miaka 59 na hakupewa hata senti moja.

4. Kuboresha maslahi kwa watumishi wote wa umma.

5. Kuboresha elimu na kuifanya iwe ya ubunifu nakujiajiri.

6. Kuboresha huduma za afya hususani hospitalini.

7.Kuboresha huduma za utoaji haki mahakamani, polisi, magereza nk.

8. Kupanuliwa Uhuru wa habari ili vyombo vya habari vitoe viripoti haki kwa watu na uhuru wao ambao ni jambo msingi.

9. Kuboresha kilimo nchini kwa kuwa na uhakika wa bei ya mazo na kuimarisha kilimo na ufugaji wenye tija.

10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya Elimu ya juu.

11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.

Je yawezekana?
Ameyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.

Watanzania sio mazwazwaaa
 
Hiyu mwamba amegonga penyewe.haya ndio mambo yakuzungumzia kwa Watanzania. Sio SGR na Daraja la ubungo.
 
Watz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi unakuwa agfadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,
Huyu jamaa Nduli akirudi watza watakiona vha moto.
 
ni nzuri lakin katika hayo almost jpm kafanya asilimia 50 labda angeweza kufikiria nje ya box kidg kuja na sera zingne kali zaid ya ccm ambazo wanazitumia sasa hv
 
Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea.
Mnazoea habari za mtu kupigwa risasi ? (mtu asipoangalia contents nzima anaweza akadhani unaongelea kwenye ground zero ya vita (ila hata huko risasi hazizoeleki)
 
Watz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi itakuwa afadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,
Asante Sana ndugu. Wenye masikio tumekusikia.
 
Watanzania tusifanye mzaha na maisha yetu na wala tusipelekwe pelekwe na mihemuko ya kishabiki. Tuangalie na kutafakari mwelekeo wa maisha yetu ya Sasa na baadaye.

Kwa ilani hii, Lisu apewe kura.
 
Ameyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.

Watanzania sio mazwazwaaa

Hujasikia mkuu👇
 
Attachments

  • mobile.twitter_8800ferMdNCLbnQz.mp4
    1.5 MB
Hapo kwenye kuboreshs huduma za afya tunataka wananchi wote wapewe bila na sera ya kituo cha afya kila kata na dispensary kila kijiji itekelezwe maana ccm wameshindwa kwa miaka 60 sasa,wakijenga 3 wanawasha vuvuzele wakati wamama bado wanalala wawili waili huko labour kwa msongamano mkubwa.
Hapo kwenye elimu wakomeshe tabia ya kuchangisha wananchi vimichango vya kijinga wakati tayari kuna utiririr wa kodi na mfupa wa watoto kukaa chini na kulundikana kwenye madarasa kama wako zizini wayafute maana hawa maccm yameshindwa.
Jambo jingine ni kuhusu biashara,hapa wizi wa kutumia vitambulisho vya machinga waukomeshe maana hauna mantiki hivi lazima vitolewe bure coz tayari sera za bajeti kila mwaka zimeweka kikomo kwa watu wanaotakiwa kulipa kodi ni ishu ya kuwatambua tu bila wizi wa 20,000 wanaofanya ccm,utitiri wa kodi na tozo,utitiri wa mamlaka za usimamizi wa biashara zipunguzwe na zibadili msigi wake kutoka kuwa wadhibiti na kuwa facilitators ,hii itakuwa chachu kwa watu kujiajiri.
Kuhusu kilimo ni bora serikali ijikite kuwezesha utoaji wa ruzuku za pembejeo na kusiwe na uingiliaji wa soko,pia bima ya mazao kwenye majanga ni muhimu sana kwa wananchi wa kawaida.
Kuhusu uwezeshaji wa vijana kujiajiri serikali ijikite kutoa mikopo yenye riba ndogo zana na kutoa vifaa kazi au vitendea kazi badala ya mkopo wa pesa ili watu waingie kwenye uzalishaji moja kwa moja nk.
Mfumo wa kiutawala uhame kutoka kuwa centralize uwe decentralize ili mamlaka ya serikali za mitaa yasimamie na kujiendesha moja kwa moja badala ya kila kitu kupelekwa mfuko 1 wa serikali na watu kujiamulia wanachojisikia bila kujali vipaombele vya wananchi,hii italeta ushindani na ufanisi
 
Back
Top Bottom