ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Sera za ccm hazitekelezeki kwa sababu mfumo wa usimamizi/command system sio rafiki yaani unamtegemea mtu 1 kana kwamba ni jeshi sasa hakuwezi kuwa na ufanisi,hapa kinachotakiwa ni kugatua madaraka na kuyapeleka serikali za mitaa huku taasisi za checks and balance ziwe huru kabisa kuwawajibisha watakaoshindwa.Hii italeta ufanisi na kutekeleza sera za vipaombele vya wananchi badala ya sasa ambapo Magu anajisikia tu kuja na miradi inayomfurahisha yeye kama alivyosema jana eti sijui ndege mara uwanja yaani huoni namna ya kumsaidia mwananchi wa chinini nzuri lakin katika hayo almost jpm kafanya asilimia 50 labda angeweza kufikiria nje ya box kidg kuja na sera zingne kali zaid ya ccm ambazo wanazitumia sasa hv
Kiufupi serikali za mitaa zipewe nguvu kubwa kujiendesha,taasisi za checks and balance ziwe huru(utawala bora) na sera kuu za uchumi angalau kwa medium term ziwe ni demand side,zilenge kukuza kipato cha mtu mja mja hii automatically ita push production na supply hapo sasa uchumi wenye kumnufaisha kila mtu utaonekana