Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Unataka kusema ilani wameichomoa humu?Lisu hana ilani ni kelele tu anaota michango jf ndio kampaini yake
Watz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi itakuwa afadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania.
ILANI: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
1. Kuwalipa fidia wote waliobomolewa nyumba zao kupisha miundombinu mbalimbali nchini huku hawakulipwa au kulipwa kiduchu.
2. Kuimarisha sekta binafsi ili kukuza ajira.
3 Kuwalipa wenye vyeti feki stahili zao. Alimtolea mfano mwalimu aliyeshindwa kuwasilisha cheti cha ualimu huku akihitimu chuo mwaka 1970. Alifukuzwa kazi akiwa na umri wa miaka 59 na hakupewa hata senti moja.
4. Kuboresha maslahi kwa watumishi wote wa umma.
5. Kuboresha elimu na kuifanya iwe ya ubunifu nakujiajiri.
6. Kuboresha huduma za afya hususani hospitalini.
7.Kuboresha huduma za utoaji haki mahakamani, polisi, magereza nk.
8. Kupanuliwa Uhuru wa habari ili vyombo vya habari vitoe viripoti haki kwa watu na uhuru wao ambao ni jambo msingi.
9. Kuboresha kilimo nchini kwa kuwa na uhakika wa bei ya mazo na kuimarisha kilimo na ufugaji wenye tija.
10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu.
11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.
Je yawezekana?
Mikopo, na kumkaba jiwe arudishe tshs 2.4 tril aliyoificha rwandaAhadi nzuri.
Ila Ni vizuri pia akaweka wazi mkakati wa vyanzo vya pesa.

Ameyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania.
ILANI: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
1. Kuwalipa fidia wote waliobomolewa nyumba zao kupisha miundombinu mbalimbali nchini huku hawakulipwa au kulipwa kiduchu.
2. Kuimarisha sekta binafsi ili kukuza ajira.
3 Kuwalipa wenye vyeti feki stahili zao. Alimtolea mfano mwalimu aliyeshindwa kuwasilisha cheti cha ualimu huku akihitimu chuo mwaka 1970. Alifukuzwa kazi akiwa na umri wa miaka 59 na hakupewa hata senti moja.
4. Kuboresha maslahi kwa watumishi wote wa umma.
5. Kuboresha elimu na kuifanya iwe ya ubunifu nakujiajiri.
6. Kuboresha huduma za afya hususani hospitalini.
7.Kuboresha huduma za utoaji haki mahakamani, polisi, magereza nk.
8. Kupanuliwa Uhuru wa habari ili vyombo vya habari vitoe viripoti haki kwa watu na uhuru wao ambao ni jambo msingi.
9. Kuboresha kilimo nchini kwa kuwa na uhakika wa bei ya mazo na kuimarisha kilimo na ufugaji wenye tija.
10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya Elimu ya juu.
11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.
Je yawezekana?
Hiyu mwamba amegonga penyewe.haya ndio mambo yakuzungumzia kwa Watanzania. Sio SGR na Daraja la ubungo.Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania.
ILANI: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
1. Kuwalipa fidia wote waliobomolewa nyumba zao kupisha miundombinu mbalimbali nchini huku hawakulipwa au kulipwa kiduchu.
2. Kuimarisha sekta binafsi ili kukuza ajira.
3 Kuwalipa wenye vyeti feki stahili zao. Alimtolea mfano mwalimu aliyeshindwa kuwasilisha cheti cha ualimu huku akihitimu chuo mwaka 1970. Alifukuzwa kazi akiwa na umri wa miaka 59 na hakupewa hata senti moja.
4. Kuboresha maslahi kwa watumishi wote wa umma.
5. Kuboresha elimu na kuifanya iwe ya ubunifu nakujiajiri.
6. Kuboresha huduma za afya hususani hospitalini.
7.Kuboresha huduma za utoaji haki mahakamani, polisi, magereza nk.
8. Kupanuliwa Uhuru wa habari ili vyombo vya habari vitoe viripoti haki kwa watu na uhuru wao ambao ni jambo msingi.
9. Kuboresha kilimo nchini kwa kuwa na uhakika wa bei ya mazo na kuimarisha kilimo na ufugaji wenye tija.
10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya Elimu ya juu.
11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.
Je yawezekana?
Huyu jamaa Nduli akirudi watza watakiona vha moto.Watz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi unakuwa agfadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,
Mnazoea habari za mtu kupigwa risasi ? (mtu asipoangalia contents nzima anaweza akadhani unaongelea kwenye ground zero ya vita (ila hata huko risasi hazizoeleki)Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea.
Asante Sana ndugu. Wenye masikio tumekusikia.Watz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi itakuwa afadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,
Yaani unauliza vyanzo vya pesa kwa dona kantri?Ahadi nzuri.
Ila Ni vizuri pia akaweka wazi mkakati wa vyanzo vya pesa.
Ameyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.
Watanzania sio mazwazwaaa
Hujasikia mkuu👇