ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Sera za ccm hazitekelezeki kwa sababu mfumo wa usimamizi/command system sio rafiki yaani unamtegemea mtu 1 kana kwamba ni jeshi sasa hakuwezi kuwa na ufanisi,hapa kinachotakiwa ni kugatua madaraka na kuyapeleka serikali za mitaa huku taasisi za checks and balance ziwe huru kabisa kuwawajibisha watakaoshindwa.Hii italeta ufanisi na kutekeleza sera za vipaombele vya wananchi badala ya sasa ambapo Magu anajisikia tu kuja na miradi inayomfurahisha yeye kama alivyosema jana eti sijui ndege mara uwanja yaani huoni namna ya kumsaidia mwananchi wa chinini nzuri lakin katika hayo almost jpm kafanya asilimia 50 labda angeweza kufikiria nje ya box kidg kuja na sera zingne kali zaid ya ccm ambazo wanazitumia sasa hv
hahahahah uwiiii sina mbavAmeyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.
Watanzania sio mazwazwaaa
Hizi alizoongea Tundu sio sera nadhani ni kero ambazo zinasumbua wananchi kwa miaka mingi,Kiufupi naamini sera zenyewe has hajazitaja ambazo kimsingi ndio zinatakiwa kulenga kuondoa hayo ma kero yaliyosababishwa na ccmHatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania.
ILANI: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
1. Kuwalipa fidia wote waliobomolewa nyumba zao kupisha miundombinu mbalimbali nchini huku hawakulipwa au kulipwa kiduchu.
2. Kuimarisha sekta binafsi ili kukuza ajira.
3 Kuwalipa wenye vyeti feki stahili zao. Alimtolea mfano mwalimu aliyeshindwa kuwasilisha cheti cha ualimu huku akihitimu chuo mwaka 1970. Alifukuzwa kazi akiwa na umri wa miaka 59 na hakupewa hata senti moja.
4. Kuboresha maslahi kwa watumishi wote wa umma.
5. Kuboresha elimu na kuifanya iwe ya ubunifu nakujiajiri.
6. Kuboresha huduma za afya hususani hospitalini.
7.Kuboresha huduma za utoaji haki mahakamani, polisi, magereza nk.
8. Kupanuliwa Uhuru wa habari ili vyombo vya habari vitoe viripoti haki kwa watu na uhuru wao ambao ni jambo msingi.
9. Kuboresha kilimo nchini kwa kuwa na uhakika wa bei ya mazo na kuimarisha kilimo na ufugaji wenye tija.
10. Wanafunzi wa elimu ya juu wote kupewa mikopo na kufuta rejesho la 15 asilimia na kurejesha 3 asilimia kwa wanufaika wote wa mikopo ya Elimu ya juu.
11 kupunguza utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara. Anadai Kuna kodi zaidi ya 15 na zinaua biashara nchini.
Je yawezekana?
Naamini wameshafikiria nje ya box ila muktadha wa mazingira ya sasa lazima uzungumzie kero zinazowasumba wananchi ambazo serikali imeshindwa,ukisema amefanya nusu wewe ni muongo..ni nzuri lakin katika hayo almost jpm kafanya asilimia 50 labda angeweza kufikiria nje ya box kidg kuja na sera zingne kali zaid ya ccm ambazo wanazitumia sasa hv
Acha mikwaraWatz mkifanya makosa mkawarudisha maccm madarakani, kwa mizaha ninayoiona, hakika 2020-2025 mtalia na kusagama meno, nchi itakuwa afadhali ya jehanum, msijesema sikuwaambia,
Aliyasema Jana Kawe. Ingia YouTubeAmeyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.
Watanzania sio mazwazwaaa
Mkuu si watanii Naona mbaliAcha mikwara
Yah! ili mfumo huu uweze kufanya kazi utahitaji Katiba mpya na utamaduni wa kuheshimu katibaSera za ccm hazitekelezeki kwa sababu mfumo wa usimamizi/command system sio rafiki yaani unamtegemea mtu 1 kana kwamba ni jeshi sasa hakuwezi kuwa na ufanisi,hapa kinachotakiwa ni kugatua madaraka na kuyapeleka serikali za mitaa huku taasisi za checks and balance ziwe huru kabisa kuwawajibisha watakaoshindwa.Hii italeta ufanisi na kutekeleza sera za vipaombele vya wananchi badala ya sasa ambapo Magu anajisikia tu kuja na miradi inayomfurahisha yeye kama alivyosema jana eti sijui ndege mara uwanja yaani huoni namna ya kumsaidia mwananchi wa chini
Kiufupi serikali za mitaa zipewe nguvu kubwa kujiendesha,taasisi za checks and balance ziwe huru(utawala bora) na sera kuu za uchumi angalau kwa medium term ziwe ni demand side,zilenge kukuza kipato cha mtu mja mja hii automatically ita push production na supply hapo sasa uchumi wenye kumnufaisha kila mtu utaonekana
Usiwe Kama upo usongizini shida mnapenda Sana vigodoroAmeyasema lini gayoo, nawakati mda wote yeye anainadi jeraha yake na kuifanya ndo kero ya watanzania? Huku akiomba watanzania wamuhurumie uraisi kama kifuta machozi.
Watanzania sio mazwazwaaa
Matusi haya ondoi uharisia wakinachofanywa na huyooo jamaa yenu mzeee wa maigizooooUsiwe Kama upo usongizini shida mnapenda Sana vigodoro
Nasi tinasema apewe nchi anatoshani kama ilani aliyoisoma mwalimu Nyerere alipoenda kudai uhuru umoja wa mataifa wakubwa wa dunia wakasema kijana apewe nchi.
Katiba lazima isukwe upya iendane na utoaji Uhuru na hakiYah! ili mfumo huu uweze kufanya kazi utahitaji Katiba mpya na utamaduni wa kuheshimu katiba
Ukubalini ukweli na uhalisia watu wamechoka Sana kimaisha wewe unasifia kwa kuwa umeahidiwa kuhongwa lakini hao mnao waita wanyonge mmewasaidia nini ?Matusi haya ondoi uharisia wakinachofanywa na huyooo jamaa yenu mzeee wa maigizoooo
Akikujibu unitagUkubalini ukweli na uhalisia watu wamechoka Sana kimaisha wewe unasifia kwa kuwa umeahidiwa kuhongwa lakini hao mnao waita wanyonge mmewasaidia nini ?